Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wadau,kuna jambo linanisumbua silielewi kama kichwa cha habari kinavyosema kwani mwezi wa kumi na moja au wa kumi nilisikia DW Swahili wakisherekea miaka kadhaa ya ushirikiano na RFA je...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hata MUNGU mwenyewe alisema Mwanaume na atamtawala mwanamke huyo Mwanzo 3:16 Hii ina maana binadamu hatujalingana! Kuna mkubwa na kuna mdogo sasa sijui huyu mpuuzi anaeitwa Karl Marx alitoka wapi...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Kwa yeyote anayetarajia kugombea urais 2020, aidha nje ya kijani au ndani, chukua huu ushauri. Ahidi kurudisha fao la kujitoa, lakini pia pindua ile 25% papo hapo na 75% ukiwa umefariki.
4 Reactions
66 Replies
4K Views
AMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA), imeanza mkakati wa kuipanua bandari ya Tanga ili kuifanya kuwa ya kimataifa Afrika Mashariki kama ilivyokuwa mwaka 1988. hiyo kwenye kiwango chake cha kimataifa...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za jumapili ndugu wana JF, natumai mpo salama salmini. Kutokana na takwimu zinazoonekana inaonesha Njombe ikiwa na asilimia kubwa ya maambukizi ikifuatiwa na Iringa na Mbeya. Zanzibar...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Yapi malengo yako kwa 2019 sema hapa tupeane hamasa ... Mimi binafsi nataka ninunue kiwanja na gari Mungu atusaidie tutimize malengo
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Huu uzi uwe maalum kwa ajili ya kutupia falsafa ambazo zitalenga kutunufaisha sote na kutufaidisha. Mimi naanza alafu na nyie muweke zetu. 1.Namna sahihi ya kuwazowea watu sahihi na marafiki wa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Ukiamka mara sijui tengeneza nini, ukihema mara sijui bima ya kina nani, ukikohoa mara zaka yani ni shida, imefikia kipindi watu tunapangiana kwamba kila familia ni LAZIMA ITOE LAKI KADHAA Bila...
7 Reactions
59 Replies
5K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es salaam Lazaro Mambosasa amebainisha kuwa katika kipindi cha mwaka mmoja Jeshi hilo limefanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 29, zilizotokana na makosa...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Hapa bongo kumekua na tabia mtu akifanya kitu cha kichizi chizi ama kupatwa na uchuzi anadhaniwa kavuta bangi, Je wanaodhania hivyo wanakuwaga na ushahidi mtu kafanya kitu cha kichizi ama kawa...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Mali za familia hupatikana kwa jitihada za pamoja za mke na mume kila mmoja akiwa na mchango wake kwa namna moja au nyingine na baadaye watoto kushirikishwa. Hii yaweza kuwa matokeo ya mali za...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la MikidadiAabdi mkazi wa Manyoni amefariki baada ya kutumbukia kwenye kisima katika kitongoji cha Majengo wilayani Manyoni mkoani Singida. ITV ilifika katika...
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Amesema baadhi ya watu wamekutwa na kilo zaidi ya 1,500 na kushindwa kuonyesha mashamba yao ya mikorosho hali inayodhihirisha kwamba wamenunua kupitia kangomba. Waziri Mkuu amesema baadhi ya...
2 Reactions
56 Replies
7K Views
Tanzania kumekuwepo na uamsho wa nguvu wa huduma za kiroho zinazojitanabaisha zinainua wafu; ponya wagonjwa; vipofu kuona; viwete kutembea na kila aina ya miujiza wengine wanaweza kuona ya Jana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba majibu kuhusu noti za Tanzania mbona chakavu sana mzunguko kidogo zinakuwa hazifai
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuwa na muda wa kutembelea ofisi za wabunge wengi majimboni mwao na kukutana na hali ambayo naomba ufafanuzi,katika baadhi ya ofisi majimboni mwao nimekuta milangoni na madirishani mchwa na...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Habari wakuu, mimi ni mvutaji wa sigara, sasa nataka kuacha kuvuta, ila nataka nibadli nitumie e-cigarette kwa mpito, naomba kujua hii e-cigarette kama inamadhara? Na kwa Tanzania ni wapi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kidumu chama cha mapinduzi Muda mchache uliopita kituo cha habari ITV kupitia ukurasa wake wa Facebook kimechapisha habari ya salamu za mwaka mpya kutoka kwa kiongozi wetu mkuu wa nchi Raisi...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Wenye taarifa yeyote kuhusu local chanels kwenye ving'amuzi vya Adam,dstv na zuku atujuze maana ni kimya muda mrefu sasa Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeingia Arusha jana na familia. Saivi nipo Picnic , nakula bia mbili tatu nikalale !Nipo na mazimba wa Jiji la Arusha , marafiki zake Mh.Godbless Lema (Mb). Upo wapi , upo na nani na unafanya...
4 Reactions
89 Replies
11K Views
Back
Top Bottom