Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

KWAKOO MH WAZIRI NAJUA UNA MAJUKUMU MENGI SANA TUNAOMBÀ MSÀDA WAKO PALE.MBEZI KUNA WANANCHI WAKKO WAMELIPIA UMEME KILA.KITU WANA MWEZI WATATU NGUZO ZIMEISHA UKIULIZA ZINASUBIRIWA TOKA SAFRICA...
0 Reactions
1 Replies
798 Views
WHATSAPP fans will soon be seeing a major change coming into force, and it could spark controversy. This year alone WhatsApp users have seen plenty of changes, with the introduction of stickers...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Basi linalomilikiwa na kampuni ya Otta High Class, ambalo lilikuwa linafanya safari zake kati ya Dar es salaam kwenda Bukoba, limepata ajali ya kupinduka Asubuhi ya leo Disemba 30, 2018 maeneo ya...
3 Reactions
52 Replies
9K Views
Mwenye kujua historia ya meli kongwe Mv Liemba naomba anijuze nasikia tu kuwa ilipinduliwa na wakoloni baada ya kuzidiwa vita, naomba kujua ilikuaje, na kwa sasa iko wapi na hali yake ikoje!!!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Maana huo usemi unaweza kutujenga au kutubomoa kwa7bu kwa upande wangu nimeuanza mwaka nikiwa na viporo vya madeni je kwahali ni kweli nitaumaliza hivo au? sielew.Naombeni msaada- kisaikolojia...
0 Reactions
3 Replies
916 Views
Hakika huyu nabii aliyemtabiria Lowassa kifo nitafunga na kuomba Mungu amchukue yeye na kizazi chake. Mwenye uwezo ni Mungu pekee.
2 Reactions
85 Replies
17K Views
KUWAPO kwa ardhi yenye rutuba inayofaa kwa kilimo au machimbo ya madini ni moja ya vishawishi vilivyovuta wakoloni kuweka miundombinu ya bandari na reli ili kufanikisha uwekezaji na kusafirisha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Zilipoanza TV hizi za Kipemba (Zisizo na kisogo kama ndugu zangu wengi wa kipemba nyuma kichwani huwa wanakuwa flat) FLAT SCREEN tuliona tofauti kubwa na zile za Kizaramo ( Zenye kisogo) Sasa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwanini vitabu vitakatifu havijawapa thamani kubwa zaidi ya kuzungumzia dhambi waliyoifanya?
1 Reactions
4 Replies
980 Views
ndugu wana jamvi, naomba kujua nauli ya Dodoma~Arusha kwa usafiri wa basi ni bei gani????? ahsante.
0 Reactions
27 Replies
20K Views
Kwasisi wengine jua likizama ni siku mpya tayari kwa hiyo nafurahi kuingia 2019 Japo kwa taabu kiufupi 2018 ulikuwa mwaka wa shida na tabu Sana kiuchumi na kifamilia nimeweza kufirisika...
3 Reactions
108 Replies
14K Views
Salam za 2019 Kumbuka; Mzee Mengi alikuwa na gazeti linaitwa ALASIRI. Halikuleta faida. Gazeti la Dar Leo vile vile. Ushindani wa magazeti mengine ulikuwa mkali. Wasomaji wakabadilika. Internet...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi gentlemen & ladies! Nakumbuka mbali sana miaka hiyo tulikuwa tunaupokea mwaka kwa style ya ajabu ya kuvuta bangi. Tulikuwa tunasherehekea kwa muziki pale kijijini kwetu na ilipofika saa tano na...
0 Reactions
2 Replies
816 Views
Hizi battery za Tiger either ni za kiwango cha hali ya chini sana au ni feki, maana nimeshanunua mara kadhaa na huwa hazidumu kabisa, huwezi kulinganisha na battery kama zile za national, na...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Nachukizwa sana kama siyo mno na tabia ya Watu mbalimbali hasa Makampuni kujifanya wakati wa Sherehe mbalimbali hasa hizi Kubwa za Kidini ndiyo Wanatembelea Makundi ya Watu wasiojiweza kama Watoto...
4 Reactions
4 Replies
889 Views
Tazama Nchi ambazo zimeshaona mwaka mpya na ambazo zinafuatia Monday 10am – Samoa and Christmas Island/Kiribati 10:15am – New Zealand 1pm – Most of Austalia 3pm – Japan, South Korea and North...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Nimeliona pahala ila nmeamini kabsa ili jina lazma Mh rais atalipigia Saluti kbsa.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
HABARI ZA JUMAPILI RAFIKI? Naomba nikushirikishe Vitu 21 rahisi vya kufanya kila siku ili kuwa na maisha yenye furaha na mafanikio. i. Lala masaa nane kwa siku. ii. Kula milo miwili kwa siku. iii...
1 Reactions
23 Replies
15K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA ISO 9001:2008 CERTIFIED TAARIFA KWA UMMA KUTUMIKA RASILIMALI NAMBA MAALUMU 15420 NA KAMPUNI YA RIFARO BILA CHETI CHA MATUMIZI YA...
3 Reactions
75 Replies
27K Views
Wakubwa naomba niwakumbushe kuwa, mshahara tuliochukua mwezi Dec 2018 ndio unatakiwa utufikishe 25 January 2019. Hapa kati kati hakuna mshahara mwingine bali kuna watoto kwenda shule, Ada, sare...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Back
Top Bottom