Mgombea Urais 2020: Ili ushinde, tuambie kama utarudisha fao la kujitoa

Mgombea atakuwa ni mmoja tu na asikilizi wala haambiliki ila hawazi kushindwa na pia hahitaji kura zenu na ushindi ni lazima
Kiongozi, mgombea akiitumja hii issue ya mafao vizuri, nina uhakika hata kama hatashinda lakini vumbi litakuwa limetifuka.
 
Kwa yeyote anayetarajia kugombea urais 2020, aidha nje ya kijani au ndani, chukua huu ushauri.

Ahidi kurudisha fao la kujitoa, lakini pia pindua ile 25% papo hapo na 75% ukiwa umefariki.
Kwani nyie watumishi mpo wangapi labda? Mnatengeneza asilimia ngapi ya wapiga kura? Ukijibu hayo maswali utagundua influence yenu kwny uchaguzi ni ndogo sn kwa hiyo pambaneni na hali zenu msitingishe kiberiti cha mkulu!
 
Kiongozi, unaposema watumishi una maana gani? Waliopo serikalini au hata kwenye private?

Hii issue ni ya wafanyakazi wote nchini ambao wanakatwa hela kwenda kwenye haya mashirika ya mafao.

Na hawa watu wanalisha Dada, kaka na ndugu wengine wasiokuwa watumishi.
 
Kama dhana yako unadhani ina mashiko wakulima wangeshafanya mabadiliko maana kwa mujibu wa takwimu ni zaidi ya 80% na wamekuwa wakipuuzwa tangu uhuru na huko ndiko hata hili kundi dogo la watumishi limezaliwa.
 
Nakuelewa sana. Amsha amsha siku hizi ni kupitia media na social networks. Hao wakulima huwa wanaishia kulalamika vyumbani, impact ya kulalamika inakuwa too minimal.

Siku hizi kawhatsapp kamoja tu na kila mtu nchini anakuwa amesikia.
 
Kama hamjaongezwa mshahara,hamjalipwa malimbikizo,hamjapanda madaraja na mpo mpo tu hamdai kitu,subirini huo uchaguzi ambao matokeo yanaamliwa nje ya boksi la kura.
Hii vita ni nzuri kwenye box, lakini kichwa kichwa utaenda Na maji.
 
Nakuelewa sana. Amsha amsha siku hizi ni kupitia media na social networks. Hao wakulima huwa wanaishia kulalamika vyumbani, impact ya kulalamika inakuwa too minimal.

Siku hizi kawhatsapp kamoja tu na kila mtu nchini anakuwa amesikia.
Yaani mkuu sio kwamba sipendi hizi harakati ila hawa watumishi wamekuwa mwiba kweli kwetu wananchi wenzao,imagine me nafanya biashara wanatumwa kukusanya kodi ya mapato/taka/zimamoto/leseni,wanafika unajaribu kujitetea wanavokusulubu hadi utajuta na hivi siku hizi na polisi wanapewa ndio balaa. Utasikia unanijua me ni nani,nitakufunga usinichezee! Hapo kavaa katai kake na kutunisha kitambi chake na vimishahara visivo fika hata tarehe 10 anajiona kamaliiiza! Wacha waisome na wao.
 
Ifikie wakati vyama vya wafanyakazi viruhusiwe kisheria viwe vinatoa mgombea wa Urais
Nakuhakikishia hata vikitoa mgombea mambo yatakuwa yaleyale.utaahidi ukiwa mgombea ila ukiingia utakuta mambo sivyo udhaniavyo ndo utajua ni kwanini kanga au vitenge havizuiwi chuo kikuu lakini hutaona mtu kajifunga
 
Back
Top Bottom