Bangi inachizisha wabongo tu? Kwanini kwingine hawachiziki?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Hapa bongo kumekua na tabia mtu akifanya kitu cha kichizi chizi ama kupatwa na uchuzi anadhaniwa kavuta bangi, Je wanaodhania hivyo wanakuwaga na ushahidi mtu kafanya kitu cha kichizi ama kawa chizi kwasababu ya bangi?.

Mtu anaweza kuwa chizi kwa msongo wa mawazo, malaria kupanda, kulogwa, n.k?

Binafsi nimesomea chuo Arusha na nimeshuhudia kuona watu wanaojielewa, wenye hekima na wenye mafanikio makubwa wakivuta bangi katika nyakati na maeneo tofauti tofauti.

Binafsi nilivuta bangi baada ya kushauriwa niache kuvuta sigara ambayo inaweza kukupa kansa ya mapafu au koo na hatimae kufa, Kwa sasa nimeacha kwasababu nipo mkoa flani ambao bangi ni adimu sana.

Ingekua bangi inaleta uchizi hivi kina snoop dogg na wiz khalifa wangebaki salama????
 
.
Meme%20Creator_1546341605666.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya bongo iko straight forward si makinikia Kama za akina Kanye West,mara shisha,mara wai dilute nk! Sasa ya huku ikilimwa mlima meru ikavunwa kituo cha pili ni kwenye koo la mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂 wengi wanavuta kupitiliza ,wakiwa na stress za maisha, hawana uhakika wa kula, wanamix na vitu vngne,

Kula fresh, matunda zaidi na maji kunywa ya kutosha ,unaeza vuta ukiwa hujala au ukishakula , wakati unakula ndum , hakikisha kuna tumixer twa matunda,au kawine,maji au kitu chochote kusindikiza resi zako , hakika lazima uisikie ladha ya ndum ,
 
Bangi ni kilevi cha asili cha kiafrika, wazungu wametudanganya tumekimbilia kwenye mabia na makonyagi na ndio yana madhara kweli.
 
Acheni kumfananisha bangi na mambo ya kipumbavu!

Tatizo wabongo wanachanganya bangi na vilevi vingine wakati ile ni sakramenti takatifu inatakiwa iheshimiwe
 
Tatizo la wabongo bhana wanafanya bangi kama chakula 3 times a day wakati kina lil wayne wanavuta pale tu wanapokuwa wamepumzika huku wakiwa wana misosi misos pembeni sasa wenzangu huku wanavuta wakiwa na majani miti miti pembeni mixer na nyoka unadhani itawaacha salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekua bangi inaleta uchizi hivi kina snoop dogg na wiz khalifa wangebaki salama?

Wenzenu wanavuta bangi kama kiburudisho sasa nye akina kayumba mnavuta bangi na njaa hivyo inakuwa ndio badala ya chakula ndio maana mnachizika!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom