Mbona noti zetu zinachakaa haraka sana?

Mbona noti zetu zinachakaa haraka sana?

Joined
Jul 12, 2018
Posts
74
Reaction score
98
Naomba majibu kuhusu noti za Tanzania mbona chakavu sana mzunguko kidogo zinakuwa hazifai
 
Ni karatasi zile, sifa ya karatasi ni kuchakaa, Ova!
 
Raia wa tz awana desturi ya kutunza fedha kwenye waleti,zinaifadhiwa kwenye mazingira mabovu,kufungwa kwenye vitambaa,kuwekwa kwenye makopo n.k
 
Hata viatu vinaisha tofauti na wenzetu

Sent from my SM using Tapatalk
 
Back
Top Bottom