jf user
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 777
- 625
Hata MUNGU mwenyewe alisema Mwanaume na atamtawala mwanamke huyo Mwanzo 3:16
Hii ina maana binadamu hatujalingana! Kuna mkubwa na kuna mdogo sasa sijui huyu mpuuzi anaeitwa Karl Marx alitoka wapi na sera zake za kipuuzi maskini wa MUNGU wajinga wengine kama akina Lenin, Stalin n.k wakaiga huo mfumo hivyo ukasambaa dunia nzima.
Ni mfumo mbovu sana kwani ndio ulioleta mungu watu na madikteta humu dunia. Wauaji kama Stalin, Mao, Plo pot, Mengstu haile Mariam ni waaumini wa ujamaa. Kwa kifupi socialism is dead wala hakuna mtu anaejitambua anaefanya huo upuuzi hata China wana shift mdogo mdogo mwishowe watakuwa perfect capitaliist kama wenzao Taiwan.
Binadamu tunatofautiana kimwili, kiakili, kimahitaji n.k hatuwezi kuwa sawa. Hatuwezi fikiri kitu kimoja hapa ndio utajua kwanini wapingaji wa sera za hawa waovu waliuawa sana.
Kwenye yenye mahitaji mbali mbali lazima watu watofautiane babu! Lazima uruhusu uhuru wa taasisi na mashirika kibao, lazima uruhusu free market, uhuru wa kidini, privatization, competition between private sector and public sector. Majembe Kama Deng Xiangping waliona mbali sana wakabadilisha sera za uchumi watuachia historia nzuri sana hawa "Hard reformer".
Kwenye ujamaa hakuna demikrasia yani ni mwendo wa ndio hata kama kitu hakifai. Ni mwendo wa kuabudu watu badala ya kuangalia reality ya kitu. GOD serve us...
Mfumo wa ubepari ndio mfumo perfect duniani na ulioasisiwa na MUNGU. Wazungu waliona mbali sana kwa sababu wana akili kubwa wao ndio waliooitengeneza hii dunia tuionayo sasa. Ukitaka demokrasia nenda nchi za ulaya na marekani uondoe zile za ulaya mashariki zilizokua kwenye USSR ila nazo zishaachana na huo upuuzi wa ujamaa.
Tunataka watu wawe huru, transparency iwepo mtu akitaka kumachana mkubwa iwe kitu cha kawaida kama watavyomchana Trump. Ili mradi tuu anafuata sheria na taratibu tulizojiwekea.
Kewnye jamii kubwa ya watu lazima tuwe na makundi mengi yenye fikra tofauti na hapo ndipo ujamaa unaponyima watu uhuru wao wa kuchangia kile wanachokiamini.
Hii mi communist ilivyo mijinga itajifanya ina MUNGU na kila jumapili inaenda kanisani sasa ni MUNGU wa aina gani huyo wanaemwabudu wakati maandiko yako yapo wazi kwamba binadamu hatulingani? Off course najua kwenye ujamaa hamna dini ila ujamaa unaundwa na watu hao hao tunaopishana nao kanisani! What does this mean?
Ni bora kutengeneza secular state huku watu wakibaki na uhuru wao wa kuabudu individually kile waaminicho na hapo ndio tunaona utamu wa upebari sasa.
Utawasiki watu wakisema eti mabari ni wanyinyaji nani kasema? kwani mtu akiwa na uhuru wake na kumiliki mali yake huo ni unyonyaji?
Kuna watu wezi kama wa system ya ujamaa? Maana najua watawala wenye vyeo vikubwa ndio wanaokula rushwa huku wale wadogo wakitandikwa ili kupata public sympathy kumbe uongo na unafiki?
Kewnye ujamaa hakuna chama pinzani wala yeyote au chechote kuichallenge serikali na hakuna uchaguzi hata kama upo ni kwao wenyewe sio kwa wale wengine! Thats is very bad kind of selfishness that GOD hate it! Ni lazima uwaangalie na wenzio sio ujifanye kama upo peke yako then leta competition na freedom watu wachague watakacho according to rule of law!
Go to hell socialism/communism you no longer wanted in our beautiful planet. Fu.*c Karl Marx and Lenin
Long live capitalism! your the father of democracy in this world.
Long live UK, US, France.
NB: Tunahitaji political, social and economic freedom. Tunataka freedom of mass media, privatization, competition in every aspect of human life.
Upuuzi wa ujamaa mwisho we are diverse community.