Mkesha wa Mwaka Mpya 2019 : Upo wapi na nani na unafanya nini?

Nimeingia Arusha jana na familia.

Saivi nipo Picnic , nakula bia mbili tatu nikalale !Nipo na mazimba wa Jiji la Arusha , marafiki zake Mh.Godbless Lema (Mb).

Upo wapi , upo na nani na unafanya nini mkesha huu ( wa kipekee) Mwaka Mpya 2019.

2018 umekuwa mwaka mgumu, msoto mkubwa sana !

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo Home nasoma Quran tukufu,, Nataka niuanze mwaka kwa kumcha Mungu,,

Kuna sura pia naisoma Jiwe ajiudhuru kabla 2020, ambayo Mungu anasema"anampa ufalme amtakaye na anamshusha amtakaye,
 
ikifika saa 23:59 ntakuwa kitandani na mama J, saa hv ngoja nkanunue mbili za baridi
 
Back
Top Bottom