Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nianze kwa kumshukuru Mungu kuweza kutupa uhai na pumzi yake hata kuiona siku ya leo tukiwa tumebakiza takribani saa chache kuingia 2019. Nijikite moja kwa moja kwenye mada. Binafsi kwa mwaka huu...
3 Reactions
4 Replies
919 Views
Utafiti wa hivi karibuni wa kisayansi, unaonesha kuwa watu wenye sifa/tabia ya kuchelewa, tabia hiyo huwasaidia kuishi kwa muda mrefu na kuwa na maisha yenye faida nyingi. Tafiti nyingi...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Kila mwaka nikiwa kilimanjaro nahisi naona wachaga wanaspend zaidi ya miezi mingine. Zamani nilikua najua wanao spend pesa zaidi ji wale waliotoka Dar lakini nimegundua siyo. Nimetafakari...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni wachache Sana hasa wanaouza genuine parts mitaa ya k Koo ndo utakuta wanatumia hizi mashine Ila Hawa wengine wa ilala wazee wa used wenyewe hawatumii mashine na hata risiti ya kawaida ya vitabu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
'Najua hawa ni manabii wa Mungu Mkuu muumbaji, mmoja yuko Afrika Kusini na mwingine Lagos Nigeria.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
EWEURA YATANGAZA KUSHUKA KWA BEI YA MAFUTA KUANZIA KESHO Mafuta ya Petroli yatashuka kwa Tsh. 141 kwa Lita, Dizeli Tsh.212 na Mafuta ya taa kwa Tsh.167 kwa Lita. Bei hizi ni kwa mafuta...
0 Reactions
21 Replies
12K Views
Mamlaka ya Mapato Nchini(TRA) imewaasa Wafanyabiashara kutoa taarifa ya changamoto wanazokutana nazo wakati wa kulipa kodi badala ya kufunga biashara na kuinyima Serikali Mapato Rai hii imetolewa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tunamshukuru maanani kwa kuendelea kuvuta pumzi ya uhai. Tukiwa tunaelekea mwshon kabisaa mwa mwaka huu sio mbaya tukapata fursa ya maalumu wa kuandika chochote ambacho kimetokea na hauwezi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
TUWAOMBE TRA KUWA NA BIASHARA-DARASA KWA AJILI YA UTAFITI Wadau ni matumani muko salama na mwaka mpya 2019, Ombi langu kwa wadau wa kodi , TRA, Serikali n.k ili kuepuka msuguano uliopo...
0 Reactions
2 Replies
912 Views
Habari zenu... Waungwana hili jambo la kutumia gesi kupikia ni zuri na kiukweli limerahisisha sana maswala ya kupika hasa kwa sisi mabachela Sambamba na kuwa gesi ni mkombozi wetu katika nishati...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la MikidadiAabdi mkazi wa Manyoni amefariki baada ya kutumbukia kwenye kisima katika kitongoji cha Majengo wilayani Manyoni mkoani Singida. ITV ilifika katika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo nimejikuta nacheka kama vile ni mazuri, kiasi kwamba nikamkwaza muhusika aliyekuwa anasimulia. Iko hivi: Kuna jamaa yangu ofisini aliomba "admission" chuo kikuu cha Dar es Salaam ili aanze...
0 Reactions
1 Replies
985 Views
Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), amesema FastJet hawana ndege hata moja hivyo kama mamlaka ya TCAA hatuna budi kuwazuia, wana madeni ya 6 billion hivyo kama wao...
15 Reactions
134 Replies
24K Views
Anaandika Benjamin James Nyakati na Technology zimeharibu mambo mengi sana Tanzania.Wanawake wenye akili wasio na elimu walizaa na kulea ma Professors . Nyakati hizi wanawake wasomi wanashindwa...
0 Reactions
4 Replies
996 Views
Hali kisiwani Guam haileweki. Lakini hali ya amani kisiwani humo ni ya kuridhisha sana huku kiongozi wa kisiwa hivho akijianda kuhamia rasmi kwenye makao makuu ya nchi hiyo yaitwayo Hagatha...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeshangaa sana mimi,Leo asubuhi nilienda bank kwa matatizo yangu ile tunahudumiwa mbele ya mtoa Huduma kuna bwana akasema anahitaji mkopo wa million 150+ nikabaki nimetumbua macho tu. Huyu jamaa...
7 Reactions
93 Replies
15K Views
Nawasalimu kwa jina la yeye aliye juu na mwenye kutupa pumzi....!! Dakika moja iliyopita, nimesikia tetemeko la ardhi hapa Dodoma. Kwa aliyeona ama kusikia pametokea madhara mtujuze tafadhali
7 Reactions
168 Replies
23K Views
Tunauza kokoto kwajili ya kujengea kama kunamakampuni ya Ujenzi mabarabara ,madaraja,na nyumba tutawauzia kokoto karibuni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Katika utafiti wangu niliofanya nimegundua siku hizi Makampuni binafsi mengi hadi mashule kumekuwa na matatizo ya ucheleweshaji wa mishahara sana kuna wanaodai hadi miezi 6 na kampuni imeamua...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…