Hodi hapa jamii forum. Ikiwa bado tuna siku nne toka mwaka 2019 uanze. Kwa sehemu yako wewe ukiangalia mipango na mawazo yako, unauona ukiwa na matokeo gani kwako hadi uishe.
Mfano unaweza ona...
Msaada wadau mwenye kufahamu gharama za kupanda mlima anijuze. Ikiwezekana hata mambo muhimu ya kufanya kabla hujapanda. Shukrani
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kilimanjaro Music Award 2014 ndio hiyo .
Hapa tunapena live updates inaoneshwa Clouds, EATV na Clouds
Star tv wameshaanza kuonyesha KARIBUNI wadau
Tazama live hapa http://bit.ly/ktma2014...
Nampenda sana Vincent Kompuny, lakini kwa dunia ganj ile sio kadi myekundu.
Maneno ya Jurgen Klop akihoji rafu ya Kompuny dhidi ya Mo Salah kwanini isiwe kadi nyekundu!?
Je hiyo lafu ya beki...
Likizo imekuwa na mambo mengi moja wapo ni kuwa karibu na watoto. Mtoto wangu amekuwa akinitaka nimtengenezee vitu hivi ambavyo binafsi nmeshasahau.
1. Box la karatasi
2. Boat ya karatasi
2. Plane...
Moja ya Changamoto kubwa katika biashara ni wazo la biashara.
Na asilimia kubwa ya biashara nyingi zinazokufa ni zile ambazo hazikufanyiwa uchunguzi wa kutosha kuona kama ni viable au lah...
Ninaomba kujuzwa kuhusiana na fao la uzazi la PSPF.
Nina mke wangu ni mtumishi alijifungua mwezi June 2018.
Hivyo alijaza fomu stahiki kwaajili ya kupata fao hilo la uzazi. Majibu aliyopewa...
Nimekua nikiona watu mbali mbali wakipost kuwa wapo Nairobi huku wakiwa na faraja sana sawa sawa kwa wachache wakiwa mji kama Kampala na Afrika Kusini
Mara nyingi hupost kwa wakiwa na Amani...
kama kichwa kinavyoeleza hapo juu..nna wazi zuri sana la biashara inayohusiana na mambo ya betting in general, nimehangaika sana kuwatafuta physically kwa bahati mbaya imekua mbinde...
Waku nimatumain tumeuanza mwaka mpya vyema japokuwa changamoto bado ninyingi.jamani naomba mwenye uelewa wa kuagiza mzigo kutoka dubai au china anielekeze nifanyeje ili niweze kufanikiwa kuagiza...
Heri ya mwaka mpya wanaJf.
Jana ilikua siku ya kipekee pale ambapo tumeaga mwaka 2018 na kukaribisha mwaka mpya 2019.
Majira ya jioni nikatoka ili kunyoosha miguu lakini pia na kutazama wapita...
Mwanafunzi Mtanzania Isaack Ibrahim Emmanuel juzi ameibuka kidedea katika mchezo wa kick boxing baada ya kumpiga KO Mchina Zi xiǎo yún yǔ katika Mjini Jillin.
Isaack ambaye anasomea uhandisi wa...
Zipo fununu za Wakuu wa Mikoa yote Tanzania bara (Tanganyika) kuwalazimisha watumishi wa umma kuandamana kuunga mkono kufutwa kwa kikokoto cha mifuko ya hifadhi ya jamii.
Najiuliza alikiyekileta...
TripAdvisor travellers and editors have compiled a list of ten cities where pickpockets are most likely to strike. Visitors would do well to watch their bags in major European cities, where many...
ujumbe wa kizalendo kabisa ingawa shida ni polisi,wakuu wa wilaya wakurugenzi maendeleo ambao leo wanafanya kazi za katibu mwenezi wa ccm kuzuia mikutano hata ya ndani ya wapinzani,ILA HAPA...
Leo nimepita zangu na kigari changu maeneo ya Kariakoo, atii nipo kule Barabara ya Lung'ombe na sikukuu street mara nikakamatwa na Traffic sijafunga mkanda.
Nikamuuliza haujui kuwa katikati ya...
Waungwana habari zenu,
Nabisha hodi nikiwa member mpya humu ndani ila jambo hili niwe mkweli lanikera sana kwakweli.
Hivi BASATA majukumu yao haswa ni yapi? Maana zaidi ya kufungia nyimbo...
TANESCO inawatarifu wateja wake wa Wilaya ya Kibamba kuwa kutakuwa na katizo la umeme leo Januari 04, 2019 kuanzia Saa 03:00 asubuhi hadi Saa 11 jioni.
SABABU: Kuhamisha line kubwa ya umeme ili...