Unauonaje mwaka 2019 kwa macho ya ndani/rohoni

Unauonaje mwaka 2019 kwa macho ya ndani/rohoni

na wewe

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
231
Reaction score
398
Hodi hapa jamii forum. Ikiwa bado tuna siku nne toka mwaka 2019 uanze. Kwa sehemu yako wewe ukiangalia mipango na mawazo yako, unauona ukiwa na matokeo gani kwako hadi uishe.
Mfano unaweza ona kabisa mwaka huu kwako unaweza kuwa na neema au balaa au kawaida kulingana na mipango na matarajio yako itakavyofanikiwa.
Piga picha wewe ni mfanya biashara halafu kodi ya pango imeeisha na akiba haieleweki lakini wakati huo huo biashara haiendi sawa.. je kwa hali hiyo mwaka utautabilia nini?
Lakini mwingine anaweza kuwa anaomba kama mwaka huu ni wake..
Kwa sehemu yangu naona huu mwaka unaweza unaweza kuwa na neema kwangu maana naona kama kuna mambo yanafunguka na yanawezekana kufanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I project firstly my yesteryear plan of business and I hope to achieve even far this year.
 
Back
Top Bottom