NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 998
Leo nimepita zangu na kigari changu maeneo ya Kariakoo, atii nipo kule Barabara ya Lung'ombe na sikukuu street mara nikakamatwa na Traffic sijafunga mkanda.
Nikamuuliza haujui kuwa katikati ya mji kama hapa sipaswi kufunga mkanda ili ukitokea moto niweze kujiokoa..etii sheria hiyo umesoma wapi?
Baadae nikamwambia twende kituoni pale Msimbazi tukapate ujuzi zaidi..
Mwishowe akaniambia nenda bhana ila usimwambie mtu maana siku nyingi watu wanapigwa faini eneo hili.
MYTAKE:
NIMEGUNDUA WATANZANIA WENGI TUNA TATIZO YA SHERIA..KUANZIA WATUNGA SHERIA MPAKA WATUMIAJI. BORA TU ITAFSILIWE KWA KISWAHILI
Sent using Jamii Forums mobile app