Kama kuna mtu humu ndani anajihusisha au anahusika kwenye haya makampuni ya bahati nasibu au mitandao ya simu naomba tuwasiliane

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,284
kama kichwa kinavyoeleza hapo juu..nna wazi zuri sana la biashara inayohusiana na mambo ya betting in general, nimehangaika sana kuwatafuta physically kwa bahati mbaya imekua mbinde kwakweli...kama kuna muhudika yoyote humu naomba tuwasiliane au kama kunamdau anaweza kuniunganisha tafadhali namba tuwasiliane pm,asanteni.
 
Pole sana, nauli ikishatolewa hairudishwi
 
Back
Top Bottom