Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

NZANIA Add Comment Uhamiaji wahusishwa na dawa za kulevya 29/07/2011 0 Comments Idara ya Uhamiaji nchini Tanzania, imeingia kwenye kashifa ya kuhusishwa na kushamiri kwa dawa za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za Jamvini Wakuu, Utakuta mtu amefariki lakini wakati wa kuonesha masikitiko yetu kwenye mitandao tunaandika R. I. P, 'Tangulia Ndugu'. Sasa tabu ni pale mtu anaandika 'Mbele yako, Nyuma...
5 Reactions
59 Replies
19K Views
Wakuu, naomba msaada kwa wajuzi wa kutafsiri ndoto. Nimekuwa naota tukio hili kila baada ya miezi fulani. Ndoto yenyewe ni kama hivi..: Mwanzo niliota nimeenda kununua kiwanja cha kujenga mahali...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimeona nipitie kwenye habari na hoja mchanganyiko maaana ukurasa huu una wasomaji wengi. Nilikuwa naomba kuuliza kwa weledi wa sheria. Jinsi wanavyosema kuchangia kwa hiari je mtu kuchangia ni...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Mimi mtu akiniambia heri ya mwaka mpya, namjibu "Heri". Niko sawa?
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Mashirika ya Habari SIKU chache baada ya kuuawa kwa kiongozi wa Libya, Kanali Muammar Gaddafi, walibya na dunia kwa ujumla imeingia katika mitizamo tofauti kuhusu kiongozi huyo huku wengi...
0 Reactions
8 Replies
17K Views
Hili suala linawahusu sana Wanafunzi wa shule za msingi na kama tujuavyo siku hizi Mwanafunzi wa kiwango hiki cha elimu anakua na umri mdogo sana hasa akiwa madarasa ya chini... Unatoka kazini...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mtoto Grace amezaliwa na ugonjwa huu na ameugua saratani hii ya ngozi tokea ana miezi miwili. Hivi sasa ametengwa na sehemu ya familia na mama yake mzazi ndiyo anampigania mwanae ambaye ana...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Naliona hilo kabisa kuwa kwa sasa wanaona hatuna haja nazo kwa sababu mda wa kuuza sura na kumwaga sera zao haujafika ila ukifika msishangae, yule yule mkuu wao akatoka tena live na kutengua...
3 Reactions
2 Replies
808 Views
Dear Great Thinkers, Kindly help me answer the following Question; Identify the development of all phases of democracy in Tanzania. Nimetafuta sana majibu hadi google lakini sijapata...
0 Reactions
2 Replies
994 Views
Mwanafunzi wa kidato cha pili Shule ya sekondari Naisinyai wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara Godfrey Otieno (16) amefariki dunia kwa kukatwa panga kichwani na rafiki yake baada ya kumtania kwa...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Hodi hapa jamii forum. Ikiwa bado tuna siku nne toka mwaka 2019 uanze. Kwa sehemu yako wewe ukiangalia mipango na mawazo yako, unauona ukiwa na matokeo gani kwako hadi uishe. Mfano unaweza ona...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Msaada wadau mwenye kufahamu gharama za kupanda mlima anijuze. Ikiwezekana hata mambo muhimu ya kufanya kabla hujapanda. Shukrani Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
1 Reactions
10 Replies
9K Views
Kilimanjaro Music Award 2014 ndio hiyo…. Hapa tunapena live updates inaoneshwa Clouds, EATV na Clouds Star tv wameshaanza kuonyesha KARIBUNI wadau Tazama live hapa http://bit.ly/ktma2014...
10 Reactions
2K Replies
137K Views
Mwenye uelewa namna ya kupata certificate ya TFDa ya addo nahitaji kufungua duka la dawa.
0 Reactions
10 Replies
19K Views
Nampenda sana Vincent Kompuny, lakini kwa dunia ganj ile sio kadi myekundu. Maneno ya Jurgen Klop akihoji rafu ya Kompuny dhidi ya Mo Salah kwanini isiwe kadi nyekundu!? Je hiyo lafu ya beki...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Likizo imekuwa na mambo mengi moja wapo ni kuwa karibu na watoto. Mtoto wangu amekuwa akinitaka nimtengenezee vitu hivi ambavyo binafsi nmeshasahau. 1. Box la karatasi 2. Boat ya karatasi 2. Plane...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Moja ya Changamoto kubwa katika biashara ni wazo la biashara. Na asilimia kubwa ya biashara nyingi zinazokufa ni zile ambazo hazikufanyiwa uchunguzi wa kutosha kuona kama ni viable au lah...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
Ninaomba kujuzwa kuhusiana na fao la uzazi la PSPF. Nina mke wangu ni mtumishi alijifungua mwezi June 2018. Hivyo alijaza fomu stahiki kwaajili ya kupata fao hilo la uzazi. Majibu aliyopewa...
0 Reactions
0 Replies
601 Views
Nimekua nikiona watu mbali mbali wakipost kuwa wapo Nairobi huku wakiwa na faraja sana sawa sawa kwa wachache wakiwa mji kama Kampala na Afrika Kusini Mara nyingi hupost kwa wakiwa na Amani...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom