Wakuu wa Mikoa na mikakati ya hovyo

Wakuu wa Mikoa na mikakati ya hovyo

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,497
Reaction score
38,347
Zipo fununu za Wakuu wa Mikoa yote Tanzania bara (Tanganyika) kuwalazimisha watumishi wa umma kuandamana kuunga mkono kufutwa kwa kikokoto cha mifuko ya hifadhi ya jamii.

Najiuliza alikiyekileta hicho kikokoto ni nani ?, na kwasababu gani ?.

Hivi mbona tunawafanya watumishi wa umma wajinga
 
Tatizo watumishi wa umma nao wamekubali kufanywa wajinga ndio maana hata wanadharaulika, wanajiweka nyuma hata kwenye kudai maslahi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maandamano ya kudai haki ni marufuku !!!! Ila yale kuunga maigizo ruksa, tena kwa kuhamasishwa na ma RCs [emoji12][emoji16][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

WaTz tunatengenezewa mchezo halafu tunalazimishwa kuucheza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watumishi wa umma wengi ni waoga wa njaa hawaamini kama wanaweza kufanya maisha nje ya ajira ya umma ndio maana hakuna anayeweza kusimamia taaluma zao, big up kwa CAG jamaa anajua kazi yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maandamano ya kudai haki ni marufuku !!!! Ila yale kuunga maigizo ruksa, tena kwa kuhamasishwa na ma RCs [emoji12][emoji16][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

WaTz tunatengenezewa mchezo halafu tunalazimishwa kuucheza

Sent using Jamii Forums mobile app

Kipindi cha nyuma mwanao akipata ajira ya serekali unatembea kifua mbele,siku hizi watumishi wa umma wamefanywa manunda hadi kina Jerry Muro wana wakimbiza kama mazazwa.
 
Zipo fununu za Wakuu wa Mikoa yote Tanzania bara (Tanganyika) kuwalazimisha watumishi wa umma kuandamana kuunga mkono kufutwa kwa kikokoto cha mifuko ya hifadhi ya jamii.

Najiuliza alikiyekileta hicho kikokoto ni nani ?, na kwasababu gani ?.

Hivi mbona tunawafanya watumishi wa umma wajinga
Hatuja lazimishwa. Tumeamua wenyewe kuandamana. Lengo kuu ni kupongeza viongozi wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi(TUCTA) na Mh Rais kwa kusikiliza kilio chetu
Tunaamini kwamba maslahi ya watumishi yataboreshwa na mambo yatakuwa mazuri in future. Hivyo ni lazima tuonyeshe appreciation yetu pale haki na stahiki zetu zinapozingatiwa kwa mujibu wa sheria
#Kustaafu ni Heshima sio Dhambi#
 
Tatizo watumishi wa umma nao wamekubali kufanywa wajinga ndio maana hata wanadharaulika, wanajiweka nyuma hata kwenye kudai maslahi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
"Nani amekuambia?! Tafadhali muache kutusemea. Hamjui lolote kuhusu movement zetu.
Hamjiulizi tu imekuwaje tumeeleweka kwa hili la vikokotoo? Just keep quite.
 
wanaoandamana sio watumishi wa umma bali vikundi vilivyoandaliwa na waandaa maandamano.
 
Tunaandamana mpaka saa nane tunakaa bar tunakunywa bia zetu tunarudi nyumbani
 
Zipo fununu za Wakuu wa Mikoa yote Tanzania bara (Tanganyika) kuwalazimisha watumishi wa umma kuandamana kuunga mkono kufutwa kwa kikokoto cha mifuko ya hifadhi ya jamii.

Najiuliza alikiyekileta hicho kikokoto ni nani ?, na kwasababu gani ?.

Hivi mbona tunawafanya watumishi wa umma wajinga

Nikuhakikishie tu ya kwamba hakuna mtumishi wa umma ataandamana kwa sababu za kipuuzi kama hizo!!!! Yaani tatizo ulianzishe then uje ulitatue!! Halafu watumishi waandamane kukupongeza!!! Labda watakuwa wamechanganyikiwa!!!! Nawashauri hao wakuu wa mikoa wawatumie wana ccm kuandamana!!!! Hapo watafanikiwa ila siamini kama watafanikiwa kwa kuwatumia watumishi kwasababu hawatoandamana!!!
 
Zipo fununu za Wakuu wa Mikoa yote Tanzania bara (Tanganyika) kuwalazimisha watumishi wa umma kuandamana kuunga mkono kufutwa kwa kikokoto cha mifuko ya hifadhi ya jamii.

Najiuliza alikiyekileta hicho kikokoto ni nani ?, na kwasababu gani ?.

Hivi mbona tunawafanya watumishi wa umma wajinga
Siku zote ukiona MTU anaishabikia CCM ukimchunguza sana mtu huyo utakuta ana chembechembe za wehu, kama si yeye basi baba yake au wale wa malango yake....

Magufuli alisaini Mswada wa kubadili KIKOKOTOO toka malipo ya awali ya 50% kuwa malipo pungufu ya sasa ya 25% na kuwa sheria....Leo baada ya kuona WAPINZANI wanadai ni uonezi wanaofanyiwa Wafanyakazi, anarudi (Magu) na kujifanya Malaika huku akiukana ushetani aloufanya...

Ccm acheni mambo ya Kichawi !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimsikia mama kabaka akisema aliyeanza watetea watumishi kuhushu kikokotoo ni jenista nikasema bora shetani aje duniani ccm ni more than devil
 
Back
Top Bottom