TRA,TFDA,TBS tazameni kwa makini hii pombe ya K-Vant

social_science

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
1,106
1,259
Heri ya mwaka mpya wanaJf.
Jana ilikua siku ya kipekee pale ambapo tumeaga mwaka 2018 na kukaribisha mwaka mpya 2019.

Majira ya jioni nikatoka ili kunyoosha miguu lakini pia na kutazama wapita njia wenzangu,baada ya kupita hapa na pale nikaibukia chimbo kupata bia mbili nikalale.

Wakati nipo pale baa mawazo yakabadilika nilipaswa kuagiza barimi nikachuku pombe kali(K-Vant) hii kitu ni mbaya mbovu aina tofauti na Gongo,mwili wote auna nguvu ni kama vile nimekunywa mafuta ya taa.

Ahsante.
 
K-Vant ni kwa ajili ya wadau wazoefu. Narudia tena wazoefu. Ukiwa unaanza usiguse k-vant.. itakulaza mtaroni boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri ya mwaka mpya wanaJf.
Jana ilikua siku ya kipekee pale ambapo tumeaga mwaka 2018 na kukaribisha mwaka mpya 2019.

Majira ya jioni nikatoka ili kunyoosha miguu lakini pia na kutazama wapita njia wenzangu,baada ya kupita hapa na pale nikaibukia chimbo kupata bia mbili nikalale.

Wakati nipo pale baa mawazo yakabadilika nilipaswa kuagiza barimi nikachuku pombe kali(K-Vant) hii kitu ni mbaya mbovu aina tofauti na Gongo,mwili wote auna nguvu ni kama vile nimekunywa mafuta ya taa.

Ahsante.
Uache kufakamia pombe uwe unakunywa ata Grant's

vp ndugu naona serikali mshaanza fitna kwenye kinywaji chetu pendwa baada ya kuona konyagi haiuziki....hii nchi shida sana..mi nikitaka nisiamke na hangoover lazima nile kvant..kwanza we sio mnywaji huwezi fika hadi bar hujui wataka kunywa nn
 
Mkuu yaani Pombe kwakua imekushinda wewe basi unataka kuaminisha watu kwamba inashida? Ha haha haaa.
Halafu alivyo mbaya hadi anachongea kwenye mamlaka husika, eti waimulike... hahahahahahah
Alishindwa nini kunywa serengeti lite a dailuti na maji ya bombani, hahahahahahah
 
Heri ya mwaka mpya wanaJf.
Jana ilikua siku ya kipekee pale ambapo tumeaga mwaka 2018 na kukaribisha mwaka mpya 2019.

Majira ya jioni nikatoka ili kunyoosha miguu lakini pia na kutazama wapita njia wenzangu,baada ya kupita hapa na pale nikaibukia chimbo kupata bia mbili nikalale.

Wakati nipo pale baa mawazo yakabadilika nilipaswa kuagiza barimi nikachuku pombe kali(K-Vant) hii kitu ni mbaya mbovu aina tofauti na Gongo,mwili wote auna nguvu ni kama vile nimekunywa mafuta ya taa.

Ahsante.
Hili suala lako ngoja nikuitie mrangi na Mshana Jr wakupe ushauri
 
vp ndugu naona serikali mshaanza fitna kwenye kinywaji chetu pendwa baada ya kuona konyagi haiuziki....hii nchi shida sana..mi nikitaka nisiamke na hangoover lazima nile kvant..kwanza we sio mnywaji huwezi fika hadi bar hujui wataka kunywa nn
Huyu jamaa ni meneja mauzo ya Tanzania Konyagi ahahahahhahahahahahahah
 
Back
Top Bottom