Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika kipindi cha awamu ya nne kulikuwa na kaulimbiu ya miradi ya gesi kila kona. Kulikuwa na visima vikiwa vimechimbwa ndani ya bahari na matayarisho ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata gesi kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
video Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
1K Views
AfDB Nods on Tanzania, Ethiopian Economic Miracles *4/1/2018, Tunis, Tunisia* BEING one of the three drivers of East African economy, Tanzania gears towards the East Africa’s best investment...
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Mwenzenu utazani nime subscribe na "polisi taarifa" Kutwa natumiwa ujumbe huu Mara sita! " Mwananchi, Usikubali kutapeliwa.Usitume pesa kwa mtu usiyemfahamu.Hakiki ujumbe na simu inayokutaka...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
ARUSHA! Inasikitisha sana! Mazishi ya bwana harusi, Heaven Makupa (47) aliyefariki dunia katika kanisa la Nabii wa Utukufu wa Bwana lililopo Olmatejoo jijini Arusha, yametikisa mjini Moshi...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
MIAKA mitatu iliyopita wakati Rais Dk John Magufuli akitangaza baraza lake la kwanza la mawaziri mara baada ya kushika nchi mwaka 2015 alisema kuna nafasi nne za uwaziri ambazo bado anatafuta watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu Wiki hii yote Tigo upande wa intaneti ipo ovyo,, ivi ni kwangu tu au hadi na Kwa wengine pia ni ivi, maana mb zinaisha tu cha maana hamna ,hii kuingia JF yenyewe hadi usubirie sana ndio...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tayari Muzungu anajua mnamsujudia lkn mnamuogopa mpaka mwenyewe anajisikia vibaya? Fikiria mtu ambaye anakuja kwako na yuko powerless kabisa anakukabidhi wewe Umungu mtu, hata wewe mwenyewe...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za mchana wanaJf Leo kwenye saa 4 asubuh,nilikwenda benki ya Crdb tawi la mbezi Luis kushughulikia miamala kadhaa ya kibenki. Nikaanzia mapokezi pale ambapo pamoja na kuwa na PC tatu za...
4 Reactions
28 Replies
5K Views
Nimeona watu wakiponda sana ajira za serikali na kusema ni kupoteza muda na wengine wanashawishi wengine waache kazi kabisa nianze tu kwa kusema huo ni upotoshaji wa kiwango chake. Sikuchukii...
24 Reactions
104 Replies
13K Views
Imeandikwa na Mtaalam Yahya Msangi FANYA TAFAKURI NA DR. YAHYA: NAMKUMBUSHA ZITTO NA NAWASHANGAA WATANZANIA VIKOKOTEO Kipindi Mizengo Pinda kateuliwa kushika wadhifa Wa Uwaziri Mkuu baada ya...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Ni majuzi tuu muheshimiwa rais alitusaidia na kuja na mjadala wa vitambulisho kwa ajili ya wafanya biashara ambao mtaji wao ni chini ya mil.4 mimi nasumbuliwa na halimashauri na hawa afisa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Baada ya kumalizana na jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama. Jeshi la usalama barabarani limzuie dereva wa Tundu Lissu kurudi barabarani mpaka lijihakikishie pasipo na shaka kuwa yuko...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Ikitokea Mtukufu Jiwe akaamua kupiga U-turn leo ijumaa ya tarehe 04/01/2019 na kutengua uamuzi wa kufuta kikokotoo na kurudisha kile cha 25% ya mafao ya wastaafu kiendelee kutumika kama sheria ya...
0 Reactions
2 Replies
921 Views
KIFO Hakina Huruma! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kijana mmoja ambaye hakuweza kufahamika jina lake au sura yake kudondoka na kufariki dunia maeneo ya mwenge jijini Dar es Salaam huku chanzo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Akithibitisha jana kuwapo tukio hilo na kushikiliwa kwa watuhumiwa hao, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Mponjoli Mwaburambo, aliwataja watuhumiwa hao kuwa Emmanuel Magige (24), Imani Daudi (18)...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
New Barrick Gold Chief Looks to End Tanzania Dispute Mark Bristow wants to resolve the tax and revenue-sharing fight; he says asset sales are possible, too...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa taratibu zilivyo katika Majeshi yetu.... Mtu akikatika kiungo akiwa katika kazi za Kijeshi. Je mtu huyo huendelea kuwa Askari wa Jeshi au atasimamishiwa Mkataba wake na Jeshi?
2 Reactions
62 Replies
7K Views
Ni gari la Mbunge Ally Ungando ambaye ni Mbunge wa Kibiti kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Gari hilo lilikuwa likisafirisha shehena ya Mbao kwa njia ya magendo kutoka Kibiti kwenda Dar es Salaam...
3 Reactions
73 Replies
13K Views
Makamu Mkuu wa Shule ya sekondari Ntuntu wilayani Ikungi, Raphael Malan, ameagiza wanafunzi 212 wanaotarajiwa kuanza kidato cha kwanza shuleni hapo, kuripoti wakiwa na viti, ndoo ndogo na vigoda...
7 Reactions
113 Replies
9K Views
Back
Top Bottom