MFAMASIA MALLYA
Member
- Aug 1, 2017
- 28
- 4
Mwenye uelewa namna ya kupata certificate ya TFDa ya addo nahitaji kufungua duka la dawa.
namna ya kupata certificate ya addo
nimesomea st. agrey nursing mbeya.hivyo ninataka nifungue duka LA dawa muhimu.na kuna hii inshu ya addo ni muhimu sasa hapo ndo naomba msaada wenu.Hyo kozi umesomea wapi mkuu
Hapo ulipo mtafute mfamasia wa Halmashauri yako,hawa wamepewa kukasimu madaraka na kazi za TFDA pia Baraza la Famasi.Mwenye uelewa namna ya kupata certificate ya TFDa ya addo nahitaji kufungua duka la dawa.
Na utaratibu wa ku import kama vinywaji unakuaje mkuu?Hapo ulipo mtafute mfamasia wa Halmashauri yako,hawa wamepewa kukasimu madaraka na kazi za TFDA pia Baraza la Famasi.
Atakuorodhesha jina na baadae mkishakuwa wengi anawasilisha majina yenu baraza la famasi,na utajulishwa chuo cha kwenda kusomea hayo mafunzo ya ADDO,Siku hizi kuna utaratibu mpya wa kwenda kusomea vyuoni si kama awali, ambapo mafunzo yalikuwa yakitolewa kila halmashauri na wataalam wa TFDA.Kwa maelezo zaidi nenda kwa mfamasia wa halmashauri au manispaa yako.
Peleka TFDA,kanda uliyopo,Sample ya kinywaji unachotaka kuingiza nchini.Utalipia kwa ajili ya uchunguzi wa kimaabara.Ikipita utapewa utaratibu wa kuingiza hicho kinywaji,ikiwa ni pamoja na usajili wa hiyo bidhaa.Na utaratibu wa ku import kama vinywaji unakuaje mkuu?
poa mkuuPeleka TFDA,kanda uliyopo,Sample ya kinywaji unachotaka kuingiza nchini.Utalipia kwa ajili ya uchunguzi wa kimaabara.Ikipita utapewa utaratibu wa kuingiza hicho kinywaji,ikiwa ni pamoja na usajili wa hiyo bidhaa.