RASCO BOY
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 428
- 485
Nampenda sana Vincent Kompuny, lakini kwa dunia ganj ile sio kadi myekundu.
Maneno ya Jurgen Klop akihoji rafu ya Kompuny dhidi ya Mo Salah kwanini isiwe kadi nyekundu!?
Je hiyo lafu ya beki wake akuiona na kwanini akuiongelea kwanini isowe kadi nyekundu!?
Maoni yenu wadau
Sent using Jamii Forums mobile app