Je, wageni kutoka Kenya hujisikia proud wakiwa Dar es salaam?

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Nimekua nikiona watu mbali mbali wakipost kuwa wapo Nairobi huku wakiwa na faraja sana sawa sawa kwa wachache wakiwa mji kama Kampala na Afrika Kusini

Mara nyingi hupost kwa wakiwa na Amani kabisa na kuonesha ni sehemu ya tofauti katika maisha yako...

Je is that the same Hawa wenzetu kutoka Kenya Hujisikia Proud wakiwa Tanzania/Dar es salaam
 
Wajiproud na nini sasa?! Hakuna hat kitu kimoja kinaweza kukuacha ukihamaki "WOW". Dar ni kijiji kikubwa tuu kwa waliotoka nje ya Africa.
 
TEMBELEA ACCOUNT ZA HAO WAGENI ZA MITANDAO YA KIJAMII UTAPATA JIBU.

: UNAWAONA WABONGO KWA SABABU ACCOUNT ZAO UNAZIONA WKT WOTE.
 
Wajiproud na nini sasa?! Hakuna hat kitu kimoja kinaweza kukuacha ukihamaki "WOW". Dar ni kijiji kikubwa tuu kwa waliotoka nje ya Africa.
Haki mkuu me sijatoka nje ya afrika nimeishi hapo joberg tu kama mwaka na nusu hivi ila nilivyorudi bongo nimeona kweli hichi ni kijiji tu
Nikakumbuka wakina Rooney walipaita Kijiji cha uvuvi hata hawakuwa wrong bongo bado sana mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaweza wakadharau mandhari lakini ninachojua wakenya wanaamini dar ni jiji la wajanja.
Na kwa ukarimu wa wabongo bila shaka wanafurahi wakiwa dar.
 
Hivi mnaposemaga "ujanja" huwa mna maanisha nini?
Maana hata Arusha wanajiitaga wajanja ila kwa sababu ya tabia za wizi wizi,vibaka na matapeli!Utasikia eti,keshakutana na "wajanja" wa mjini!
Basi kama hiyo ndiyo sifa ya Dar,hapo kuna tatizo kubwa na hasa la mtazamo kwenu nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekua nikiona watu mbali mbali wakipost kuwa wapo Nairobi huku wakiwa na faraja sana sawa sawa kwa wachache wakiwa mji kama Kampala na Afrika Kusini

Mara nyingi hupost kwa wakiwa na Amani kabisa na kuonesha ni sehemu ya tofauti katika maisha yako...

Je is that the same Hawa wenzetu kutoka Kenya Hujisikia Proud wakiwa Tanzania/Dar es salaam
Ikishapata majibu kwamba labda wanajisikia vizuri au vibaya, wewe binafsi inakusaidiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mnaposemaga "ujanja" huwa mna maanisha nini?
Maana hata Arusha wanajiitaga wajanja ila kwa sababu ya tabia za wizi wizi,vibaka na matapeli!Utasikia eti,keshakutana na "wajanja" wa mjini!
Basi kama hiyo ndiyo sifa ya Dar,hapo kuna tatizo kubwa na hasa la mtazamo kwenu nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lipo kwako usiyejua maana ya ujanja.
Wizi na utapeli huo ni uhuni sio ujanja.
Tafuta kamusi kwenye simu yako angalia maana ya ujanja.
 
Back
Top Bottom