NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,869
- 5,170
Nimeona nipitie kwenye habari na hoja mchanganyiko maaana ukurasa huu una wasomaji wengi.
Nilikuwa naomba kuuliza kwa weledi wa sheria.
Jinsi wanavyosema kuchangia kwa hiari je mtu kuchangia ni mujibu wa sheria au mtu anaweza kuweka utaratibu wake anaojua mwenyewe bila kulazimishwa?
Hebu tuanzie hapo kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app