Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mara ya mwisho tulionana shinyanga kama sikosei ni 2010-11. Kabla ya hapo tulikutana arusha kwa mara ya kwanza ukiwa unafanya kazi kampuni ya Dar Express. Ni dada half cast. Mrembo mwenye...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Nakutafuta sana wewe bint kama kumbukumbu zangu zipo vizuri unaitwa sharrifa. Tulionana mwaka 2004 nlipokuja arusha mang'ola mimi na watu wengine kadhaa. Tulikuwa tumepiga kambi na mara kadhaa...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
Hapa nawaza kwa vikundi kama vicoba ambavyo vinachangishana hela kidogo na kukopeshana itakuwaje? Maana maagizo ya BOT yamesimama wima! Karibuni wajuvi wa mambo ya finance mtutoe tongotongo...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Ajali imetokea Bunju B na kuua watu watatu papo hapo ambao ni madereva wa bodaboda na VX kuchomwa moto. Dereva wa VX katoka mzima ila gari lake limechomwa moto na wananchi. Maiti zimepelekwa...
4 Reactions
128 Replies
38K Views
Habarini wanaJF ,natafuta shule nzur kwa ajili ya mwanangu wa miaka mitatu nipo maeneo ya kona kimara .
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Capetown complex Dodoma mnapashwa kunyanganywa lesseni ya biashara kwa kitendo cha kufuata matakwa ya mahitaji ya lesseni. Kuruhusu na kuendelea kuwaruhusu watoto wa umri wa Chini ya umri wa mwaka...
1 Reactions
72 Replies
6K Views
Mtu huyu amepoteza nyaraka muhimu na zimeokotwa na raia mwema. Kama kuna anayemfahamu, amwambie awasiliane nami. Anaweza kutuma email kwa uongozi wa JF ili wanitafute (support @ jamiiforums. com )
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuanzi mwezi huu TANESCO imefuta ulipiaji LUKU kwa tariff zero. Watumiaji wote waliokuwa wanalipia umeme kwa tariff zero sasa wamehamishiwa tarrif one. Ambapo kwa sasa watumiaji hao watapata...
3 Reactions
100 Replies
18K Views
Majaliwa alieleza hayo alipokuwa akikagua barabara hiyo jana ambayo itagharimu Sh. bilioni 129.3 hadi itakapokamilika kwake, akiwa njiani kwenda wilayani Mbinga ikiwa sehemu ya ziara yake ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mufindi Ni hali isiyo kuwa ya kawaida kwa binadamu kufika umri mrefu akiwa hai, lakini leo linathibitika kwa mara nyingine Nchini Tanzania katika kitongoji cha Ing’enyango nje kidogo ya kijiji...
1 Reactions
35 Replies
8K Views
Nimeamka mapema leo, na kabla ya kutoka kitandani, nikawa nawaza watu mbali mbali hapa duniani wanaopitia masaibu tofauti tofauti. 1. Wazazi waliokuwa wanategemea kumzaa mtoto mzima lakini baada...
0 Reactions
3 Replies
889 Views
Nimesoma maandiko mengi yanayojadli swala la ukosefu wa ajira kwa vijana. Kuna watu wanajalibu kuitenga serikali na tatizo hili la ajira kwa vijana. Wapo wanaowambia vijana kuwa wajiajili...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amepiga marufuku tabia ya baadhi ya askari Polisi nchini kukamata waendesha pikipiki (bodaboda) wakiwa hawana sare za jeshi. Akizungumza na mamia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Gari la jeshi la polisi mkoa wa Arusha aina ya Land cruiser lenye namba PT 839 limewagonga watu na kusababisha kifo cha mwendesha pikipiki na Abiria wake waliokuwa wamepakizana katika eneo la...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Habari wana jamvi. Tafadhali naombeni msaada wa mawazo, nimejaliwa kupata mtoto wa kike ana miezi mitano sasa. Changamoto iliyopo kwenye ukuaji wake ni kukaa kwa shida lakini pia miguu hawezi...
1 Reactions
26 Replies
12K Views
WAZIRI wa Nchi, Osi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo amewaweka kikaangoni watumishi watano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro kwa kutosimamia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ZAIDI ya wakulima 10,000 katika mikoa 11 nchini, chini ya uendeshaji wa vikundi vya kilimo kupitia Shirika la Misaada la Makanisa Duniani (NCA) watanufaika na kilimo bora kinachokabiliana na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hiki ni kisa ni cha kweli kabisa siyo udaku wala Utani; kilitokea huko Kateshi manyara Kuna watu bangi ziliwapa maisha lakini kuna wengine ziliwaharibia maisha yao yote! Bangi za zamani zilikuwa...
5 Reactions
15 Replies
4K Views
TUTHAMINI UTU NA HESHIMA KWA MKUBWA NA MDOGO TUSIISHI KWA MAZOEA: Wewe Umeenda semina Dodoma, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda...
3 Reactions
157 Replies
15K Views
NYUMBA inayodaiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli alikuwa akitembelea mara kwa mara alipokuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, inadaiwa kuwa itabomolewa...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Back
Top Bottom