Walimficha Rais wetu kikokotoo kipya?

Walimficha Rais wetu kikokotoo kipya?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,335
Reaction score
17,582
Inavyoonekana waliotaga yai la kikokotoo kipya cha mafao ya wastaafu walitaga, kuatamia na kutotoa kikokotoo hicho kimyakimya bila ya kumtaarifu Mkuu wa nchi, vinginevyo asingeshangaa vile kuhusu dhuluma iliyokuwa inawanyemelea wastaafu. Na kama walifanya hivyo kupinduliwa chini benchi lote la waliotaga, walioatamia na kutotoa yai la kikokotoo kipya kunawahusu.
 
Jidanganye hivyo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom