Tabiri vichwa vya Habari magazeti ya Kesho

Tabiri vichwa vya Habari magazeti ya Kesho

Singidan

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
878
Reaction score
945
CAG amtingisha Ndugai, adai bunge limekosa mvuto!!
 
Mwananchi; sifa ziko za aina mbili, chanya na hasi , kama mkaguzi mkuu angetoa sifa chanya angeitwa na kamati kumuhoji ?
 
Tanzania daima; Spika aikanyaga katiba; upitishwe muswada wa kumuondoa.
 
kauli ya CAG: Mabeberu wahusishwa!
wapo viongozi wa chadema, mpango ulisukwa ubelgij! (jamvi la habar)
 
Back
Top Bottom