Safi Sana Kila atakayesoma atatafakari tatizo ni maisha magumu wenye uwezo wa kuchemsha hata maji kwa maisha ya miji ya dar na pwani ni wachache sanaTuseme tu ukweli watu wamekuwa wavivu kuchemsha maji ya kunywa jamani! Hasa kwa sisi watu wa hali ya chini ambao hatuwezi kumudu kununua kila siku....Ujumbe wangu wa kufungia mwaka:
MAJI YANACHUKUA 75% NA MARADHI MENGI YANAANZIA TUMBONI....
Hakika mkuu diarrheaTuseme tu ukweli watu wamekuwa wavivu kuchemsha maji ya kunywa jamani! Hasa kwa sisi watu wa hali ya chini ambao hatuwezi kumudu kununua kila siku....Ujumbe wangu wa kufungia mwaka:
MAJI YANACHUKUA 75% NA MARADHI MENGI YANAANZIA TUMBONI....
Sisi wa darasa la 7A hatujakielewaKuchemsha maji ni kanuni ya afya
Kusema kweli huwa mimi nafanya mbadala, nagandisha kwenye friza
Then natoa naweka kwenye ubaridi wa kawaida
Mliosoma microbiology mtakubaliana na mimi
Bakteria waliowengi ni thermothilic bacteria ambao wanaweza ku survive tu katika joto la kati ya 35-45 degree Celsius, so unapoweka maji kwenye freezer manake wale wadudu watakufa mana hawataweza kumudu joto la hadi ( - 2), baada ya hapo maji yako yatakuwa salama kabisa sawasawa na mtu aliyechemsha tu.
Hizo ni miongoni mwa njia za kutreat maji iitwayo freezing
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok kumbe na hi ni njia mojawapo ya kutibu maji, ahsate mkuu, ila itanibid nifatilie kwa kina piaKuchemsha maji ni kanuni ya afya
Kusema kweli huwa mimi nafanya mbadala, nagandisha kwenye friza
Then natoa naweka kwenye ubaridi wa kawaida
Mliosoma microbiology mtakubaliana na mimi
Bakteria waliowengi ni thermothilic bacteria ambao wanaweza ku survive tu katika joto la kati ya 35-45 degree Celsius, so unapoweka maji kwenye freezer manake wale wadudu watakufa mana hawataweza kumudu joto la hadi ( - 2), baada ya hapo maji yako yatakuwa salama kabisa sawasawa na mtu aliyechemsha tu.
Hizo ni miongoni mwa njia za kutreat maji iitwayo freezing
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh, ni sawa hata kisayansi, lkn mm siamini ktk hilo maana toka nijielewe sijawahi kunya maji yaliyochemshwa, na pia hata nikienda kwa jirani wakiniuliza maji nawaambia wanipe yasiyochemshwa.
Bu any way uzi ni wa muhimu. Hongera[/
Ndugu yangu sio LA kujivunia hilo! Badilikaa...hayo unayouunayokunywa unajua yanatoka wapi?
Why water guard sio salama?Sio salama sana,unaondoa tatizo unaweka lingine