DELIVERANCE.

DELIVERANCE.

Ndussi

Member
Joined
Mar 14, 2017
Posts
17
Reaction score
4
Najua mambo ya dini hayaruhusiwi humu ndani ila kwa kuwa ni jambo la uhutaji haitakuwa ni tatizo kuliweka hapa.
Ni kwamba nahitaji msaada wa deliverance kiroho kwa ajili ya mwanangu tafadhari mtu anayejua mahali ninapoweza kupata msaada huo tafadhari anijulishe.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada nitakaoupata.
Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KARIBU KWA MZEE WA UPAKO UBUNGO
 
Ili update ushauri ambao ni relevant ungetoa hint kidogo mwanao anasumbuliwa na nini hasa.
 
Back
Top Bottom