Kwa nini hatuonagi maoni ya wabunge kama kina Bashe, Makamba, Kigwangala,Mabula, Ummy na wengine machachari wa CCM kwenye issue za kulenga jamii?

Nukta5

JF-Expert Member
Jun 7, 2014
1,180
1,276
Toka imeanza issue ya 1.5T ikaja ya koroshow, Vikokotozi, wanafunzi waliopata ujauzito kurudi shule na hili la CAG sijawasikia wakitolea maoni wananchi wao au wanaona ni sawa tu, Na wakiwa bungeni likija swala la ndege sijui project gani ambayo haimlengi mwananchi moja kwa moja atatumia hata dk 20 kuongelea lakin swala la.mafao ni Dr. Kigwangala tu alijaribu kutetea wananchi wake lakini sijui kilichompataga kwenye maoni yake nachojua aliondoka twitter hakurudi hadi.week iliyopita.
 
Back
Top Bottom