Habari za hivi punde;
abiria takribani zaidi elf 4,wapo ndani ya maji karibia kwa saa moja sasa, Engine inayofanya kazi ni moja tu, Kivuko kibovu pia inadaiwa kivuko kimebeba watu idadi kubwa zaidi .
Source mwananchi
Biharamulo. Simulizi ya mkazi wa kijiji cha Nyambale wilayani Biharamulo, Bilatwa Mabuga aliyedai ng’ombe wake 20 kukamatwa na polisi tangu 2017 wakati akiwapeleka kwenye mnada...
habari wadau ninahitaji pikpik aina hii ya Honda, ikiwa kuna mahali umeziona zinauzwa, tafadhali naomba nijuze.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Heri ya mwaka mpya wakuu,
Huwa yanishangaz sana watu kuweka vyakula status ambavyo wamekula muda huo.
Unakuta mtu kaenda kwenye harusi au sherehe yoyote anawecha chakula kwenye status.
Kibaya...
Puerto Rico inayumba nadhani inaelekea ukingoni korongoni
mihimili yake inatikiswa na inatikisana
Puerto Rico mahali anapoishi memba mwenzetu gentamycine inakwenda mrama
Puerto Rico is no...
Hii sio kitu kizuri cha baadhi ya watu kuhujumu mvua kunyesha na kusababisha mazao kuharibika.
Hali ikiendelea hivi uchumi wetu unaweza dorora.
Tunaomba serikali yetu iingilie kati suala hili...
Mkuu wa mkoa wa Tabora ndugu Agrey Mwanri hivi karibuni amenukuliwa katika video clips mbalimbali akionekana kumkoromea anayemuita "Injiania" kwa kumshurutisha asome vipimo kwenye "tape measure"...
Habarini, binafsi nimekuwa na utaratibu wa kusaidia wenye mahitaji kwa kutoa kwa wahitaji (wajane, yatima, NGO's zenye huduma ya kutunza watoto yatima nk) kile ambacho Mungu hunibariki (10%)...
Ndoto yangu kubwa ilikuwa kusoma sheria na kuwa wakili, niliyamudu vyema masomo ya sanaa hasa Kingereza na Geography na History ila naandika hapa nikiwa mwalimu wa somo la kemia na biologia tena...
Wanajamvi naomba mnijuze jinsi gani ya kumpata yule mwewe wa clouds Tv, manake sisi wakazi wa huku kirumba mwanza tumechoshwa na mgao wa umeme na barabara zimeoza
Kila siku nasikia matangazo kwamba kutakuwa na maombezi sehemu fulani yatakayoongozwa na mtumishi fulani.mimi binafsi katika Imani yangu naona HaKuna kitu hapo maajabu ya kuponya watu yalikuwa na...
Wakuu,
Mimi Mjina Mrefu sijawahi kwenda kwa mganga yeyote wa kienyeji na ninamuomba Mungu anisaidie nisikae kwenda niende kwa mganga wa kienyeji kwa ajili ya ramli...
Nilivyopata experience kwa...
Nilipoona Rais ænagawa Vitambulisho vya wachinga.....naona limekuwa agizo kwa kila RC .
Imetangazwa kila mfanya biashara mwenye mtaji chini ya mil 4 had muuza nyanya pembezoni mwa barabara awe...
Jaman jaman jaman,
Hii kitu isikie tu kwa jirani, ukibanwa tumbo kuhara huku unasafiri safari ndefu ni balaa, nakumbuka natoka mbeya naenda dar, asee ile tunakatuza makambako ugeni huu.. kila...
napenda kutoa tahadhari kipindi cha january ( UTABIRI WA HALI YA HEWA)
1. nyakati za jioni na usiku kutakuwa na ukimya sana katika majumba mengi kama vile wametoka kuzika. hakutakuwa na shamra...
Kilosa, Morogoro: Mwanamke mmoja na Mtoto wake wamefariki dunia baada ya kukanyaga waya wa umeme ulikuwa umeanguka chini baada ya kukatika kutoka katika nguzo
Waya huo ulikatika kutokana na mfua...
TAARIFA YA UKARABATI WA MASHINE KITUO CHA KUFUA UMEME KWA GESI CHA UBUNGO II
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake kuwa kuanzia Januari 9, 2019 hadi Februari 13, 2019...
Nimeikuta hii tabia Songea, hivi aliyekuja na hili wazo alikuwa anawaza nini? Maana ni hatari zaidi kuvaa helmet kuliko kutovaa? .Kuna fangasi wa kichwani na magonjwa ya ngozi watu wanaambukizana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.