Usalama wa Usafiri wa Pantoni-Dar es salaam

Usalama wa Usafiri wa Pantoni-Dar es salaam

Don arl

Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
39
Reaction score
21
Wanajukwaa, nimeanzisha uzi huu tuzungumze kuhusu usalama vivuko vya pantoni kuelekea kigamboni. Je serikali inachukua hatua stahiki kuhakikasha vivuko vinakuwa salama zaidi,? Je huduma za vivuko vyetu zinaendana na ongezeko la matumizi ya hivi vivuko,!? Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwako pia. Nataka kuondoka humu huu mwaka.
Kilichotokea Leo asubui ni aibu. Haiingii akilini vivuko vyote viharibike kwa kufeli injini at per. Watu wamekaa kwenye maji zaidi ya lisaa limoja. Panton kubwa imepaki na hi mpya ndogo injini zinayofanya kazi ni mbili tu. Imagine prime hours like asubui Wednesday watu wanavokuwa wengi. Mapato ni makubwa Sana lakn vivuko haviboreshwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NADHANI UMENIWAHI KUWEKA HUU UZI LEO MANA NILIYOPAMBANA NAYO ASUBUHI YA LEO NIKIWA NAVUKA NAKUJA MJINI MUNGU NDO MWENYEWE ANAYEJUA ILIKUWAJE UKAIKA SALAMA. NILIFIKA KIVUKONI SAA MOJA KAMILI KUKIIWA NA WATU WENGI SANA MPAKA KUNAPOKATIWA TIKITI NJE KARIBU NA GETI LA ZUIO LA MAGARI NA VIVUKO VIWILI VIKIWA VINAJIANDAA KUCHUKUA ABIRIA. WAFANYAKAZI WA VIVUKO WAKAWA WANAWASIHI ABIRIA WAPANDE MAGOGONI ILA KAMA WAKAWA WANA KAMGOMO FULANI. BASI WALE TUSIOJALI TUKAPANDA TUKIJUA TUTAANZA FADARI PUNDE. TULIKAA KWENYE KIVUKO KIKIWA NEUTRAL KAMA ROBO SAA ZAIDI MPAKA KINAONDOKA SAA MBILI KASOROBO. KWA KWELI HALI NI MBAYA SANA NA HASA MIDA YA ASUBUHI NA JIOPNI AMBAYO ABIRIA WANAKWENDA NA KURUDI KAZINI. INABISI MAMLAKA AINAYOHUSIKA IJARIBU KUANGALIA HILI SUALA KWA KINA KWANI HALI IMESHAKUWA MBAYA. UKIWA NA RATIBA YA KUFIKA MJINI SAA MOJA BASI TENGA NUSU SAA KW AJILI YA KIVUKO KWA SEHEMU YA ADAKIKA SABA MPAKA KUMI.
 
Back
Top Bottom