TMS CHECK imekuwaje? Siku hizi haifunguki.

TMS CHECK imekuwaje? Siku hizi haifunguki.

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,575
Reaction score
8,329
Jamani hii njia ya kuangalia faini za magari makosa ya usalama barabarani imekuwaje? Siku kama tano hivi haifanyi kazi, je wamebadili utaratibu? anayejua atujuze.
 
mbona hii ni kawaida kabisa kwa mifumo mingi ya kikompyuta ya hapa bongoland wasiwasi wangu no kuwa kuna siku hata taarifa zetu nida zitakuwa hazionekani pindi tukihitaji huduma furani furani
 
Back
Top Bottom