Yahusu sura mbovu ya stesheni kuu ya SGR inayojengwa Posta

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,058
40,721
Nimesononeka sana baada ya kuona Tanzania inatapeliwa kwa kusanifiwa jengo la stesheni ya SGR ambalo binafsi naamini ni moja ya vituo ambavyo muonekano wake kwa nje ni wa ajabu sana. Hivi hakuna namna yeyote ya kubadilisha ile exterior view ya hii stesheni, maana itaharibu fabric ya mji.
Screenshot_2019-01-08-20-10-38.png
 
Wamesema wanajenga hoteli na kumbi za vikao ! Wabongo siyo watu wazuri. Stesheni ya Pugu nyumba yetu kubwa sana. Huu mradi ni joke of the Century sasa naanza kuona! Mwanzoni I really appreciated the effort ila baada ya kuona hizo steshen nikacheka mno! Alaf wakajishtukia eti hawawez kujenga steshen kubwa bila matumizi. MARK MY WORDS kutakuwa na msongamano sana steshen ya Dar! Ila tutakuwa na hoteli ya kisasa so all good
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom