Msaada: Nimelipia umeme TANESCO lakini sijafungiwa

makudupa

Senior Member
Jan 13, 2014
189
25
Jamani wana JF,

Naombeni msaada kwa hawa TANESCO nifanyeje coz nililipia kufungiwa umeme tangu mwezi wa 9 tr 19 mpaka leo tr 19 mwezi 12 sijaona kitu chochote kikifanyika, nimejaribu kufuatilia kwa kila njia wananizungusha tu, kama humu kunamkubwa yoyote wa TANESCO anisaidie.
 
Achana na mambo ya mkubwa,nenda ulipolipia mtafute mtu anayesimamia mafundi,ongea naye,kaa naye pembeni ,nyoosha mkono kama wekundu watano tuuu,wiki humalizi moto unawaka.Acha kulalamika mkuu
 
Jamani wana JF,

Naombeni msaada kwa hawa TANESCO nifanyeje coz nililipia kufungiwa umeme tangu mwezi wa 9 tr 19 mpaka leo tr 19 mwezi 12 sijaona kitu chochote kikifanyika, nimejaribu kufuatilia kwa kila njia wananizungusha tu, kama humu kunamkubwa yoyote wa TANESCO anisaidie.

Umelipia Tanesco wapi?
arumeru?shinyanga? sinza?

umelipa nguzo ngapi?
 
hii TANESCO ni uozo mtupu.. kuna makazi yangu nimelipia umeme(gharama za kufungiwa) toka mwaka jana mwezi wa nne mpaka leo tarehe 9/1/2019 napigwa danadana, mara hakuna vifaa, mara nguzo, mara badget haipo.. nashauri kama una hela yako usilipie umeme bora ufanyie mambo mengine mpaka pale itakapo kaa sawa... mtumbuaji naona yamemshinda yupo kimya tuu..
 
Back
Top Bottom