Siku hizi maisha mazuri sana kwa sababu Polisi wamepunguza unyanyasaji, maofisa hawaonei tena raia, hakuna zile kauli za kusema "unanijua Mimi" au "ntakufunga".
Zamani mlishuhudia hata Wanajeshi...
Ombi la kuzuia Muamala:37448397641, Kiasi: TSh 550,000 kwenda 255716277037 limefanikiwa. Pesa yako itarudishwa baada ya mpokeaji kuruhusu
Leo ni siku ya NNE hawjaresha muamara niliozuia urudi...
Ni hivi karibuni tumepokea ndege nzuri(hata kwa muonekano tu) na iliyoweka rekodi kuwa ndege ya kwanza ya aina hiyo kwa Afrika.
Tunapaswa kujivunia.
Je sisi ndio wa kwanza kutumia ndege hii...
Huu ni mrejesho wa kikao cha viongozi na wananchi hapa nilipo,Kila mjasiliamal anapaswa kuwa na na kitambulisho kwa gharama ya elf ishirini kwa mwaka!!!.Je hii nikwatanzania yote?
* Ajira hamna
* Mtoto anatakiwa kwenda shule
* Mwanamke wangu anaumwa
* Sina hata hela ya kumpa akatibiwe naishia kukaa kmya tu mana sikai nae
* Mdogo wake ananipgia simu ananitukana ndugu yake...
Ukiona vitabu vya kitanzania macover yake ni ya ajabu ajabu sana. Najua wengi wanakuwa ni hadithi tu online na hazijachapwa kwenye hardcopy lakini ndiyo macover yawe hivi? ubunifu hakuna, ni...
Poleni Wakuu
Naomba niende moja kwa moja kwenye Swali langu!
Endapo ikiwa,ukiyachemsha maji Bila shaka vile vijidudu inasemekana Ufa,!
Swali langu ni hili.
je,endapo maji ukiyagandisha...
Huyu Mr chato anavyoongea utafikiri ana uchungu na nchi.
Sasa hivi maongozi yake makubwa kuwasifia wafanyakazi anajua kuwa jua liko manghalibi na wengi wa wafanyakazi hawajamkubali
Sent using...
Watu watatu wamekamatwa wakijifanya watoza ushuru mkoani Mbeya
Jeshi la polisi mkoani Mbeya kwa kushirikiana na maofisa wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya limewakamata watoza ushuru feki watatu...
Sasa unaweza kopa hadi shilingi milioni moja za kitanzania kupitia simu yako janja ya mkononi na kurejesha kidogokidogo mahali popote na wakati wowote.
Ili kupata mkopo inabidi uwe na vitu...
Jeshi La Polisi Mkoa Wa Kaskazini Unguja Linaendelea Kufanya Doria Mbali Mbali Inayohusu Dawa Za Kulevya, Pombe Za Kieneyeji Na Makosa Mengineyo kwa lengo La Kupunguza Vitendo Vya Uhalifu Katika...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dsm limewaonya Askari wake wachache wanaokiuka maadili ya Jeshi hilo kwa kujihusisha na vitendo vya rushwa,uonevu pamoja na Ubambikiaji kesi wananchi.
Jeshi la Polisi...
Yote ni kuhusu hizi waist trainer au corset
Japo ni jambo linaloenda na wakati lakini ukweli lina madhara makubwa ndani. Unapofanya kitu isifikirie kuhusu nje tu, fikiria na ndani!
Sio siri kila...
Tunaambiwa kwenye maandiko kuwa baya huzaa baya na jema huzaa jema. Na mungu, "ametuumba" wote kuwa ni watenda dhambi/sinners. Ambapo dhambi huwa ni jambo baya.
Kwa hiyo mungu anaweza kuonekana...
Habarini ndugu zangu, naombeni ufafanuzi wa hii ndoto, mimi sio mvuvi wala sijawi kuvua, na pia sijawai kuishi karbu na bahari au ziwa.
Juzi usiku nikiwa nimelala niliota niko maeneo ya pembezoni...
WANAUME NA WANAWAKE WA SASA NA WA ZAMANI KWA KIASI KIKUBWA NI WALEWALE TU
Kuna mijadala ya kujirudia rudia sana kuhusu tabia za wanawake na wanaume wa siku hizi!!Wengi wakidai ni dhaifu maji...
Nakumbuka walibafuliwa hawa sababu ya madongo kwenye imani za watu sasa nimepita huko Instagram naona hawajakoma tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.