Una maoni gani kuhusu biashara kufanyika kwa saa 24 Jijini Dar?

chagonjam

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
354
418
Mhe. Paul Makonda anakusudia kuruhusu biashara kwa masaa 24 kabla ya Februari 2019. Una maoni, angalizo gani ?
 
Inaweza kuwa fulsa nzuri au ikawa majuto.
...


>Laniki tujiulize ni kitu gani kinachosababisha kuruhusiwa kwa biashara 24hrs?
>Kama usafiri kutoka Dar - Moro mwisho saa 20:30 unategemea nini?
 
vipi kuhusu ulinzi,,?
tuna askari wa kutosha kukidhi ulinzi unaostahili,,?
tusikurupuke tukawapa sherehe panya road
 
450px-Hijra.jpg
Tuwaachie na hawa wawekezaji kutoka India waje Dar ili huduma iwe 24 kweli
 
vipi kuhusu ulinzi,,?
tuna askari wa kutosha kukidhi ulinzi unaostahili,,?
tusikurupuke tukawapa sherehe panya road
Na ulinzi wenyewe usiishie tu kwenye hayo maeneo ya biashara bali uimarishwe sehemu zote za jiji. Kama ulinzi utaimarishwa kwenye maeneo ya biashara pekee yake kuna uwezekano mkubwa kwa wanunuzi wa bidhaa zinazouzwa maeneo hayo ya biashara kuporwa, kujeruhiwa na hata kuuawa na vibaka au majambazi wakiwa njiani au wanapofika getini majumbani mwao nyakati za usiku.
 
Back
Top Bottom