Mk 2:4 SUV
[4] Na walipokuwa hawawezi kumkaribia kwa sababu ya makutano, waliitoboa dari pale alipokuwapo; na wakiisha kuivunja wakalitelemsha godoro alilolilalia yule mwenye kupooza.
Hawa ndugu...
Unamkumbuka IGP Omar Mahita? moja IGP aliyesifika kuwa katili vibaya sana na yeye mwenye amethibitisha hiyo kwa kusema alikuwa acheki na mtu anakwambia "Ukicheza na bwa utaingia naye msikitini"...
KUAMINI NDOA NI MPAKA IFUNGWE KANISANI AU MSIKITINI NI DALILI YA UTUMWA NA UELEWA MDOGO KWA WATU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Acha Dotto Magari adharau Wasomi. Ingawaje naamini...
Mvua zinaelekea ukingoni katika maeneo mengi, ni wakati sasa wa kuanza kuyapangilia yale Mamilioni sehemu ya kuyamwaga na kusubiri yakwende nshwaaa kama alivyotaka kufichua ndugu B Levo Ba 🏃🏃🏃🏃 Na...
Katika jamii nyingi za leo, swali ambalo limekuwa likiulizwa mara kwa mara ni kama viongozi wanaochaguliwa au kuteuliwa kwenye nafasi mbalimbali wanaingia kwa sababu ya uwezo wao halisi au kwa...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amerejea nchini Tanzania akitokea jijini Brazzaville, Jamhuri ya Kongo alikomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya...
DAWASA yaomba radhi wateja kukosekana kwa huduma
Kukosekana huduma ya Maji Kibaha hadi Kisarawe.. DAWASA yatoa sababu
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)...
Msanii wa Kitanzania ambaye alikuwa comedian na sasa ni kama content creator wa video fupi za kucheza mitandaoni ambaye ni Jaymond akiwa na Mpenzi wake Isabella kutoka huko Sweden wamefanikiwa...
Wakati mtoto wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 10, Ayubu Shaaban, alipopanda jukwaani katika Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, watu wachache tu katika ukumbi uliojaa watu...
Katika eneo la mashambani lililotanda rangi ya kijani katika Kaunti ya Murang'a katikati mwa Kenya, Jeff Ngigi Mburu alifurahia sana miparachichi yake aina ya Hass, huku akistarehe kwa upepo...
Kwa karibu mwaka mmoja, Hellen Rono, mkulima kutoka Kaunti ya Bomet magharibi mwa Kenya, amefanikiwa kuzuia ugonjwa wa mnyauko wa nyanya kwa kutumia teknolojia ya kupandikiza iliyoanzishwa kupitia...
Habari wanajamvi,
Katika safari ya maisha, kuna watu ambao huwa wa karibu sana kiasi kwamba wanapohitaji msaada wa kifedha unawasaidia bila kusita, kutokana na heshima na uaminifu mliojenga kwa...
Tanga sio jiji , bajeti ya mwaka 2025/2026 katika miundombinu ya majiji haikuhusishwa hasa barabara kubwa ,na bajeti ya juzi ya mwaka 2026/2027 napo pia haipo kwenye list yaani mpaka Njombe ndani...
Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe hailipi madeni kwa sisi ambao tumefanya zabuni nao, na ukifuatilia malipo unajibiwa vibaya. Pia wamejipa majukumu ya TRA kwa kuzuia malipo endapo unadaiwa TRA...
IGP Mstaafu Omar Mahita wakati akizungumza kwenye M&S Podcast ametoa mtazamo wake na ushauri kwa Polisi wasifanye kazi kwa shinikizo au ushawishi wa watu au idara nyingine, bali wabaki katika...
Nimeona Instagram influencer mmoja anaitwa niffer, anauza cosmetics ameshare historia ya maisha yake, kwamba alikua anauza chakula 2019 hapo mijini daresalam kariakoo, 2023 akaanza kuuza vipodozi...
Maisha ni kama hadithi
Pindi tu unapozaliwa, ukurasa mpya wa hadithi hufunguliwa
Unajikuta kwenye dunia ukiwa mgeni kabisa, na jambo la ajabu zaidi ni kwamba hujui ulipotoka
Ukiachana na...
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amewasihi wananchi kuendelea kudumisha upendo na mshikamano baina ya dini zote, huku akiwakumbusha kuwasaidia ambao wasiojiweza katika mahitaji...
Kama wewe hupigwi,kupokea mkong'oto na kipigo kutoka kwa mkeo usichukulie wanaume wote hawapigwi la hasha wapo sana wanaume wenzetu wanapigwa na Kisha wanauchuna.
Ndoa zina Siri sana wakuu usione...