Kimara Mwisho tuna shida kubwa sana ya upatikanaji wa maji safi toka DAWASA kuanzia mtaa wa bakery ni upande wa kushoto ukitokea mjini baada ya msikiti kwenda Stopover.
atizo hili ni la muda...
Wanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado...
TATIZO DAMU YA MTU HAIFUKIWAGI NA MCHANGA. DAMU HUFUKIWA NA DAMU JUU YAKE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mambo ya kiroho na kimwili yanakanuni Zake.
Ndàni ya Damu ya Mtu upo uhai. Damu ya...
Isee nipo mjini hapa naishi Isanga hapa maeneo ya darajani, sio kila siku story za siasa na mademu, tuje kiuhalisia sasa! Leta fursa
CC: IMAGE HAIHUSIANI NA THREAD
Licha ya maelekezo kutoka serikalini yanayomtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, ndugu Maiko Richard Kachoma, kutekeleza sheria zinazohakikisha uhuru wa mtumishi kujiunga...
Si kila binadamu atapata bahati ya kumuona Mwenyezi Mungu.
Watakaobahatika kumuona Mwenyezi Mungu ni wale tu waliokidhi vigezo na kufuzu mitihani waliyopewa hapa duniani kubwa zaidi kukamilisha...
Hii ndiyo tiba na huduma ya kwanzaya kuungua iwe na moto au maji au chochote.
Ni baada yakupata hiyo ajali hakikisha haugusi kitu chochote cha baridi. Yaani epuka kutumia maji au kitu chochote...
Inasemekana listi ya vigogo waliohusika kuchinja watanzania ipo mbioni kutoka huko kwa Trump.
Hofu yangu baada ya Listi kutoka wataendelea kumfunga rais wetu ajaye awamu ya 7 ndugu Tundu Mwigai...
Katika ulimwengu unaoendeshwa na kasi ya maendeleo ya teknolojia, matumizi ya Akili Unde (AI) yameanza kuwa sehemu ya maisha ya kila siku, ikiwemo katika malezi na elimu ya watoto.
Wazazi na...
Mahujaj flani anatrend kwenye mitandao ya kijamii akilia kwa uchungu sana baada kuibiwa kwa kuchaniwa pochi yake kwenye hija inayoendelea Makkah Saudi Arabia.
Mji wa Makkah na madina aruhusiwi...
Management ya DAWASA na wafanyakazi wake wote mna roho za ajabu sana. Sijui mnataka tuishije bila maji. Mnatuchukulia poa sana.
Mkijisikia njooni mrudishe Maji Mitaa ya Mbezi.
Simanzi imeikumba familia moja wilayani Moshi Vijijini baada ya mtoto mwenye umri wa miaka mitatu, Francis David, kupoteza maisha kwa kuteketea ndani ya nyumba iliyoshika moto katika Kitongoji cha...
"Chokochoko ya nini sahivi tunaliponya taifa acheni maneno ya kukatisha tamaa yaliyopita yamepita tutafute amani swala la Polisi kuua ni kawaida kikatiba we sahivi mrushie polisi jiwe uone kama...
Nashukuru sana kuzaliwa nikiwa muislam. Ninaomba sana Allah aniondoshe ktk dunia hii nikiwa ni muislam tena muumin. Ningalikua nimezaliwa nje ya uislam ingalikuaje?
Ushauri kwa dada mahusiano ni vita mwanaume msafi yupo kwenye vitabu vya kuandikwa ukiolewa na ndoa inayumba jiongeze mwanaume mchafu ukitaka aliyetukuka mtengeneze.
Ushauri kaka mahusiano sio...
Imenishangaza kuona mtu anaondoka kwao, gafla anakata mawasiliano.
Inapita hata miaka bila wao kujua yuko wapi, anafanya Nini.
Ujasiri wa namna hii sio wa kawaida.
Ila pia inanifanya nifikiri...
Nakumbushia tu siyo kwa ubaya.Niliwahi kutoa maandiko zaidi ya manne nikionyesha jinsi biashara ya uuzaji dhahabu feki ilivyoathiri maendeleo ya wanafunzi mashuleni na kujikuta wamelowea kwenye...
Watu wanaumia aisee jamaa katoka machimboni, karudi anapewa story kuwa mke wake alikuwa anaruka ruka nje, break ya kwanza ni kwenda kupima kwa lazima, imebidi jamaa amkimbie waifu kimya maana wife...
Watu wengi wakisikia satellite wanafikiria ni vifaa vichache tu vinavyozunguka dunia, lakini ukweli ni kwamba anga la karibu na dunia limejaa vitu vingi sana kuliko watu wanavyodhani. Kuna maelfu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.