Ndoto ni dirisha ambalo unaweza kuchungulia na kuona nini kinachokuja mbele yako, au ni jambo gani ambalo limekuzunguka lakini hujatambua au hulioni katika fikra na macho yako.
Sasa ni Mungu...
TRA mfumo unakataa kufunguka hasa kwenye kipengele cha Innovation ambapo inasababisha watu kushindwa kushiriki Innovation Challenge licha ya muda wakumalizika hiyo challenge kukaribia ambapo...
Kuna huu mmea unaitwa Agave. Upo kama katani.
Unapandwa. Baada ya kama miaka 7 hukomaa na kuvunwa. Ukikomaa huwa kama nanasi hivi. Huvunwa. Majani hukatwa na kiini kama nanasi huchukuliwa...
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Mei 26, 2026, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania (JMAT) Taifa, Sheikh Alhad Mussa Salum, amesema;
"Kwenye uchochezi wowote wa namna yoyote ile...
Wazazi wa wanafunzi wanaosoma Chuo cha sukari cha taifa (National Sugar Institute) cha kilombero tunawalipia pesa ya bima ya afya toka mwaka wa kwanza lakini hawapewi bima yoyote hadi wanakaribia...
Kwa bahati nzuri leo nimesikiliza kipindi cha Redio Tumaini cha Dukuduku. Nimependa dukuduku kuhusu watangazaji wa Redio Tumaini. Watangazaji wameifanya Redio igeuke kituko kama siyo Redio ya...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anataka haki na uadilifu.
■Aapisha majaji wa rufaa, awakumbusha pia uzalendo
■Asisitiza kuepuka upendeleo, kuwa na hofu ya Mungu
■Asema duniani ukiacha Mungu...
Dr.Zack ✍️
May 26,2026.19:10PM..
INAONEKANA kuna hofu kubwa ya baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Upinzani hasa Chadema na Viongozi wa dini Nchini kukubwa na JINAI baada ya Tume-JINAI kuja na report...
Wakuu Amani iwe kwenu!!
Nimebahatika kusafiri Tena kusafiri kutoka kahama kwenda mpanda -katavi Kwa lengo la kuendelea kuangalia fursa za kilimo na ufugaji nk.
Na hapa nitakupisha maeneo yote...
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala imeona taarifa zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu muda wa kusubiri huduma kwa baadhi ya wagonjwa wanaofika hospitalini hapo kupata matibabu...
Mkoa wa Mtwara, Mamlaka ya Maji Safi na Taka (MTUWASA) wakazi wa Mbae Mashariki, Manispaa ya Mtwara Mjini tumeomba tuunganishiwe huduma ya maji kwa muda mrefu bila mafanikio.
Pamoja na juhudi za...
Uislam umeanzishwa na Muhammad. Kabla yake hapakuwepo mtu hata mmoja aliyekuwa anajiita muislam.
Kwenye Hadith zake Muhammad kuna sehemu anajadiliana na wenzake jinsi ya kuitana wakati wa sala...
Events za harusi zinaboa sana. Miaka nenda miaka rudi ukumbini mambo ni yaleyale:
Ingia ukumbini
Cheza kidogo
Kata keki
Tambulisha ndugu
Toa zawadi
Nenda kwenye msosi
Muziki
Tuwaage maharusi...
Wana jukwaa salaam.
Habarini wote.
Nimekuja kwenu kuwasimulia mkasa wangu kwa ufupi juu ya tatizo la akili linalonisibu tokea utotoni hadi leo.
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 32, Mtumishi wa...
Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM — Taasisi ya Heart Team Africa Foundation (HTAF) kwa kushirikiana na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imezindua rasmi kampeni ya kitaifa ya “Kutoa Ni...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamtafuta mwanamke anayefahamika kwa jina la Queen Mbuba kwa tuhuma za mauaji ya mume wake, Shizya Mwangwale (35), mkazi wa Kijiji cha Igunda, Wilaya ya Mbozi...
Mtu mmoja aitwae Mwajuma Mohamed Mkule Mkazi wa Mtaa wa Mibobo Kata ya Nanyamba Halmashauri ya Mji Nanyamba Mkoani Mtwara, amejitosa kwenye kisima Cha maji
Tukio hilo limetokea May 23,2026 Mibobo...
Miaka ya sitini katikati kulikuwa na mzee mmoja anauza genge pahala,
alikuwa ni maarufu sana,
Hivi majuzi nimekutana nae na cha jabu alikuwa amevaa shati lile lile maarufu, nikadhani labda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.