Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Za usiku huu wakuu, Mchambuzi nguli wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania, Gwandumi Mwakatobe, amefariki dunia. Mazishi yake yamepangwa kufanyika siku ya Jumanne mjini Sumbawanga Binafsi...
8 Reactions
45 Replies
1K Views
Kuchinjwa kwa fahali aliyekuwa akisemekana kufanana na kupewa jina la utani “Donald Trump” kutokana na nywele zake kusimama. Fahali huyo, ambaye alikuwa anatarajiwa kuchinjwa wakati wa Eid...
6 Reactions
9 Replies
310 Views
Hongera sana rafiki yangu Binti wa zamani kwa kuwa platinum member,ningependa pia nikuone ukiwa verified jf member. Nene Naja
7 Reactions
22 Replies
432 Views
Nimejaribu kuwaza thamani ya baadhi ya nyumba za kuishi zinazouzwa kwenye Jiji la Dar es salaam kama zina thamani inayotajwa, Bado sijapata jibu. Hivi nyumba inawezaje kuuzwa kwa bei ya shilingi...
13 Reactions
84 Replies
3K Views
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, ameongoza ujumbe wa Tanzania katika kikao na ujumbe wa Taasisi ya WaterAid UK ulioongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kanda ya Kusini mwa Afrika, Robert...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
▪︎ Ataka kila mmoja mmoja aone ni suala lake ▪︎Asisitiza matumizi ya teknolojia rafiki kwa mazingira WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania wabadili mtazamo kuhusu utunzaji na...
0 Reactions
2 Replies
235 Views
Watu wengi wamekua wanatafuta siri ya mafanikio bila kujua mafanikio yao yapo mikononi mwa nani? -Kuna watu wanafanikiwa sababu tu wazazi wao wanafurahi kuona wakifanikiwa -Lakini kuna wengine...
6 Reactions
7 Replies
218 Views
Hii ni kwa wataalam wa fedha tu! Kuna report huwa zinadaiwa na wafadhili kilawanapotangaza calls. Sasa kwa mashirika (NGOs) madogo madogo ambayo hayajapata ufadhili wa kueleweka huwa zinasumbua...
0 Reactions
2 Replies
90 Views
Watu wa Kimara Michungwani mtaa wa Mengeni tunapata sana shida ya maji ingawa mvua zinanyesha lakini tunakaa week 3 hadi mwezi bila maji na tunaona hali hii haitatuliwi maana ni muda mrefu sasa...
0 Reactions
3 Replies
160 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amemuhakikishia Rais Samia Suluhu Hassan kuwa, wote waliohusika kufanya mauaji ya mwekezaji mwenye asili ya kichina, watakamatwa chini ya usimamizi...
0 Reactions
3 Replies
175 Views
"Watu huwa wanadhani uzalendo ni kuitetea serikali iliyoko madarakani. Uzalendo ni kulitetea taifa kwa sababu serikali zinaingia na kutoka, lakini nchi iko pale pale." - Zitto Kabwe, Kiongozi...
1 Reactions
1 Replies
80 Views
Kichwa cha Habari iPhone 13 Pro Imetungikwa Lock ya Mkopo. Natafuta Fundi wa Kazi, Matapeli na Wapiga Blah Blah Kaeni Mbali Wakuu, nina iPhone 13 Pro 128GB niliyoichukua kwa mkopo. Mambo yalikaa...
0 Reactions
14 Replies
290 Views
Ozzy Osbourne ametajwa rasmi kuwa “mutant wa kinasaba.” Kauli hiyo ilitolewa na watafiti waliochunguza DNA yake ili kuelewa jinsi alivyomudu miongo mingi ya matumizi makubwa ya pombe na dawa za...
8 Reactions
20 Replies
516 Views
Je, wajua kuwa changamoto za uzazi si kwa mwanamke pekee, bali zinawahusu pande zote mbili mwanaume na mwanamke? Ubora wa mbegu za kiume ni miongoni mwa sababu kubwa zinazochangia familia nyingi...
8 Reactions
6 Replies
321 Views
Assalam alaykum Watu wengi wakisikia neno “Sunnah” hudhani ni jambo la hiari lisilo na umuhimu mkubwa katika dini. Wengine hudhani Sunnah ni mavazi fulani au muonekano pekee. Ukweli ni kwamba...
12 Reactions
34 Replies
547 Views
Anonymous
Fremu za Tegeta Nyuki zilijengwa na wananchi wakaambiwa wachukue kodi kwa miaka 10, kisha fremu zirudishwe Halmashauri wapewe wananchi wanaohitaji kupanga. Lakini mpaka sasa miaka 10 imeisha muda...
0 Reactions
4 Replies
181 Views
Anonymous
Naomba msaada wa kumtafuta binti yangu anayeitwa JULIANA MAKAFU (KULWA), mwenye umri wa miaka 16, mwanafunzi wa Kidato cha Tatu. Ameondoka nyumbani tarehe 20/05/2026 alfajiri katika Kitongoji cha...
1 Reactions
9 Replies
197 Views
Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM — Kampuni ya teknolojia ya kifedha ya Black Swan-Tanzania imeingia kwenye orodha ya kampuni 25 bora zinazochipukia barani Afrika kwa mwaka 2026 iliyotolewa na...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Back
Top Bottom