Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mvua zinaelekea ukingoni katika maeneo mengi, ni wakati sasa wa kuanza kuyapangilia yale Mamilioni sehemu ya kuyamwaga na kusubiri yakwende nshwaaa kama alivyotaka kufichua ndugu B Levo Ba 🏃🏃🏃🏃 Na...
0 Reactions
1 Replies
76 Views
Katika jamii nyingi za leo, swali ambalo limekuwa likiulizwa mara kwa mara ni kama viongozi wanaochaguliwa au kuteuliwa kwenye nafasi mbalimbali wanaingia kwa sababu ya uwezo wao halisi au kwa...
1 Reactions
3 Replies
122 Views
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amerejea nchini Tanzania akitokea jijini Brazzaville, Jamhuri ya Kongo alikomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya...
2 Reactions
7 Replies
167 Views
‎ DAWASA yaomba radhi wateja kukosekana kwa huduma Kukosekana huduma ya Maji Kibaha hadi Kisarawe.. DAWASA yatoa sababu ‎ Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)...
0 Reactions
3 Replies
129 Views
Msanii wa Kitanzania ambaye alikuwa comedian na sasa ni kama content creator wa video fupi za kucheza mitandaoni ambaye ni Jaymond akiwa na Mpenzi wake Isabella kutoka huko Sweden wamefanikiwa...
2 Reactions
6 Replies
257 Views
Wakati mtoto wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 10, Ayubu Shaaban, alipopanda jukwaani katika Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, watu wachache tu katika ukumbi uliojaa watu...
3 Reactions
1 Replies
221 Views
Katika eneo la mashambani lililotanda rangi ya kijani katika Kaunti ya Murang'a katikati mwa Kenya, Jeff Ngigi Mburu alifurahia sana miparachichi yake aina ya Hass, huku akistarehe kwa upepo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa karibu mwaka mmoja, Hellen Rono, mkulima kutoka Kaunti ya Bomet magharibi mwa Kenya, amefanikiwa kuzuia ugonjwa wa mnyauko wa nyanya kwa kutumia teknolojia ya kupandikiza iliyoanzishwa kupitia...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Habari wanajamvi, Katika safari ya maisha, kuna watu ambao huwa wa karibu sana kiasi kwamba wanapohitaji msaada wa kifedha unawasaidia bila kusita, kutokana na heshima na uaminifu mliojenga kwa...
3 Reactions
3 Replies
191 Views
Tanga sio jiji , bajeti ya mwaka 2025/2026 katika miundombinu ya majiji haikuhusishwa hasa barabara kubwa ,na bajeti ya juzi ya mwaka 2026/2027 napo pia haipo kwenye list yaani mpaka Njombe ndani...
9 Reactions
39 Replies
644 Views
Anonymous
Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe hailipi madeni kwa sisi ambao tumefanya zabuni nao, na ukifuatilia malipo unajibiwa vibaya. Pia wamejipa majukumu ya TRA kwa kuzuia malipo endapo unadaiwa TRA...
0 Reactions
3 Replies
166 Views
1. Afrika kusini -479B (Madini na viwanda) 2. Misri- 429B ( Utalii na gas) 3. Nigeria-377B (Biashara) 4. Algeria-317B (Mafuta na gas) 5. Morocco - 194B (Utalii na biashara) 6. Angola - 152B (...
4 Reactions
15 Replies
392 Views
IGP Mstaafu Omar Mahita wakati akizungumza kwenye M&S Podcast ametoa mtazamo wake na ushauri kwa Polisi wasifanye kazi kwa shinikizo au ushawishi wa watu au idara nyingine, bali wabaki katika...
1 Reactions
2 Replies
283 Views
Nimeona Instagram influencer mmoja anaitwa niffer, anauza cosmetics ameshare historia ya maisha yake, kwamba alikua anauza chakula 2019 hapo mijini daresalam kariakoo, 2023 akaanza kuuza vipodozi...
16 Reactions
53 Replies
817 Views
Maisha ni kama hadithi Pindi tu unapozaliwa, ukurasa mpya wa hadithi hufunguliwa Unajikuta kwenye dunia ukiwa mgeni kabisa, na jambo la ajabu zaidi ni kwamba hujui ulipotoka Ukiachana na...
5 Reactions
52 Replies
612 Views
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amewasihi wananchi kuendelea kudumisha upendo na mshikamano baina ya dini zote, huku akiwakumbusha kuwasaidia ambao wasiojiweza katika mahitaji...
1 Reactions
1 Replies
86 Views
Kama wewe hupigwi,kupokea mkong'oto na kipigo kutoka kwa mkeo usichukulie wanaume wote hawapigwi la hasha wapo sana wanaume wenzetu wanapigwa na Kisha wanauchuna. Ndoa zina Siri sana wakuu usione...
11 Reactions
137 Replies
1K Views
Anonymous (c723)
Nilikuwa natoa hela bila card (PESA FASTA) kwenye ATM ya NMB DODOMA leo, baada ya kumaliza kutoa kwenye simu nikawa nasubiria meseji ya namba ya siri ili iniwezeshe kutoa kwa kwenye ATM lakini...
0 Reactions
1 Replies
196 Views
Anonymous
Wakuu, Hapa Arusha kuna mzani moja wa Jiji iliyopo maeneo ya Njiro, baada tu ya roundabout ya Impala. Mzani huu naufahamu huu mwaka wa tatu. Kila gari kubwa linalopita hapa linatozwa kati ya...
0 Reactions
0 Replies
115 Views
Anonymous
Mimi ni muathirika wa hali ya sasa katika taasisi ya TANAPA. Nilifanya kazi moja, na ni miaka miwili sasa imepita bila kulipwa. Mbali na mimi, kuna mwenzangu analalamika kuwa mama yake alifanya...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Back
Top Bottom