Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Hapa ni Uwanja wa Mchanga, Keko Juu. Hali ya uchafu kwenye makazi ya watu katika Mtaa wa Keko Juu imezidi kuwa mbaya, huku kila kona kukiwa na viroba vya taka. Wananchi wanaendelea kuathirika...
1 Reactions
2 Replies
86 Views
Habari wakuu, samahani naomba kuuliza kwa wenye kuelewa kwenye shughuli za uchenjuaji wa dhahabu. Naomba kueleweshwa namna unavyoweza kujua ni kiasi gani cha lead nitrate, ammonium nitrate...
1 Reactions
8 Replies
271 Views
  • Redirect
Shirika la Reli Tanzania Tanzania Railways Corporation (TRC) limeanzisha magari aina ya Ford Ranger yaliyowekewa teknolojia ya laser ili kuboresha ukaguzi na ufuatiliaji wa usalama wa reli ya...
2 Reactions
– Replies
– Views
Ununuzi wa magari ya Ford Ranger yanayotumia teknolojia ya laser uliofanywa na Shirika la Reli Tanzania (TRC) unaashiria hatua kubwa katika kuimarisha usalama wa reli ya kiwango cha kimataifa...
6 Reactions
13 Replies
412 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imeanza rasmi zoezi la kufunga Pampu 3 kati ya Pampu 7 zilizowasili mapema Mwezi Mei Mwaka huu zinazotarajia kuimarisha na...
4 Reactions
7 Replies
145 Views
Nina shilingi mia moja ya zamani hiyo hpo nipo nao tu sijui kazi yake kama kuna mtu nahitaji mimi nipo nao aje nimpe.
2 Reactions
15 Replies
294 Views
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Mei 28, 2026 amewasili kuwa Mgeni Rasmi katika Kongamano la Kitaifa la Wadau wa Mazingira pamoja na maadhimisho ya miaka 40 ya Baraza la Taifa la Hifadhi na...
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Wanabodi, Leo ni sikukuu ya Eid El Haji, Iddi ya Kuchinja. Leo ni siku ya Sikukuu ya Idd El Haj, ni iddi ya kuchinja, asubuhi nilikuwa naangalia matangazo ya mubashara ya Baraza la Iddi kupitia...
29 Reactions
1K Replies
39K Views
Wabongo mbona hatujifunzi na utapeli wa dini? Wanaibuka wahuni wanawapiga hela majitu yamezubaa. Leo Mwamposa anatangaza Keki ya Upako. Majitu yananua kwa bei kubwa kipande! Eti atapata mimba...
22 Reactions
85 Replies
1K Views
Tangu October 29 2025 mpaka leo nchi haijarudi kuwa sawa mivutano ya huku na kule haiishi , mambo ya msingi yanashindwa kufanyika zaidi na zaidi mazungumzo ni yaleyale ya oct 29 pesa nyingi...
10 Reactions
22 Replies
369 Views
Kichwa cha Habari Biashara ya Mikopo au Ujambazi iPhone 13 Pro Inauzwa Spea Kioo, Housing, Camera) Baada ya Mkopeshaji Kuniletea Masimango! Iko hivi: Nina iPhone 13 Pro (128GB) niliyoichukua...
2 Reactions
16 Replies
276 Views
Kwa hisani ya watu wa Marekani 1)Wametoa misaada mingi ya AFYA..ikiwemo madawa ya kufubaza mavirusi ya UKIMWI madawa ya UKIMWI. kusaidia wagonjwa wa UKIMWI kuwapatia dawa za bure Malaria dawa...
9 Reactions
62 Replies
685 Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Douglas Akwilapo, leo Alha Mei 28, 2026, amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha...
0 Reactions
2 Replies
166 Views
Hapo ulikuwa una 80% ya kulishwa mavitu vya kishirikina, kuchapiwa mtaani, kulea watoto sio wako, vikao vya mara kwa mara vya ugomvi wa mke na mawifi au mama na ilikuwa unakufa mapema sana. Pia...
1 Reactions
1 Replies
117 Views
Tanzania imeendelea kujiweka katika ramani ya dunia baada ya kutajwa kuwa miongoni mwa nchi 10 zilizokuwa na ukuaji mkubwa zaidi wa uchumi duniani katika kipindi cha robo karne iliyopita. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
The African Forum and Network on Debt and Development (AFRODAD) has urged journalists across Africa to play a greater role in exposing the human impact of the continent’s growing debt crisis and...
0 Reactions
0 Replies
142 Views
Habari wakuu!! Kila mtu mwenye mazoea ya kupata habari ni shahidi wa yale yanayoendelea Nchini Congo juu ya mlipuko wa ugonjwa hatari wa EBOLA. Kwa ujirani na maungiliano ya kibiashara baina...
3 Reactions
2 Replies
119 Views
Mk 2:4 SUV [4] Na walipokuwa hawawezi kumkaribia kwa sababu ya makutano, waliitoboa dari pale alipokuwapo; na wakiisha kuivunja wakalitelemsha godoro alilolilalia yule mwenye kupooza. Hawa ndugu...
1 Reactions
4 Replies
123 Views
Unamkumbuka IGP Omar Mahita? moja IGP aliyesifika kuwa katili vibaya sana na yeye mwenye amethibitisha hiyo kwa kusema alikuwa acheki na mtu anakwambia "Ukicheza na bwa utaingia naye msikitini"...
10 Reactions
64 Replies
2K Views
KUAMINI NDOA NI MPAKA IFUNGWE KANISANI AU MSIKITINI NI DALILI YA UTUMWA NA UELEWA MDOGO KWA WATU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Acha Dotto Magari adharau Wasomi. Ingawaje naamini...
23 Reactions
113 Replies
1K Views
Back
Top Bottom