Bwashee Machui
Member
- Jan 2, 2019
- 69
- 79
Mvua zinaelekea ukingoni katika maeneo mengi, ni wakati sasa wa kuanza kuyapangilia yale Mamilioni sehemu ya kuyamwaga na kusubiri yakwende nshwaaa kama alivyotaka kufichua ndugu B Levo Ba 🏃🏃🏃🏃 Na Makorongo bila mvua vyombo vya moto vinachoka zaidi