Je, Tanga imeondelewa hadhi ya jiji?

Je, Tanga imeondelewa hadhi ya jiji?

Raia mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2022
Posts
937
Reaction score
2,592
Tanga sio jiji , bajeti ya mwaka 2025/2026 katika miundombinu ya majiji haikuhusishwa hasa barabara kubwa ,na bajeti ya juzi ya mwaka 2026/2027 napo pia haipo kwenye list yaani mpaka Njombe ndani ikiungajishwa na Mbeya ila Tanga hola.

Kwenye bajeti za flyover waziri wa ulega alitaja watajenga flyover kwenye majiji ma 4 Tanga haikutajwa, pia nakumbuka alitaja mradi wa mwendo kasi katika majiji alitaka yote ila Tanga kaiacha, na kwenye mambo mengi tu,

Je, Tanga imeondolewa kwenye orodha ya majiji ila serikali haitaki kusema?
 
Tanga sio jiji ,bajeti ya mwaka 2025/2026 katika miundombinu ya majiji haikuhusishwa hasa barabara kubwa ,na bajeti ya juzi ya mwaka 2026/2027 napo pia haipo kwenye list yaani mpaka Njombe ndani ikiungajishwa na Mbeya ila Tanga hola.

kwenye bajeti za flyover waziri wa ulega alitaja watajenga flyover kwenye majiji ma 4 Tanga haikutajwa, pia nakumbuka alitaja mradi wa mwendo kasi katika majiji alitaka yote ila Tanga kaiacha, na kwenye mambo mengi tu,
je Tanga imeondolewa kwenye orodha ya majiji ila serikali haitaki kusema?
Tstizo ni wabunge hawasemi lolote kuhusu harabara
 
Tanga sio jiji ,bajeti ya mwaka 2025/2026 katika miundombinu ya majiji haikuhusishwa hasa barabara kubwa ,na bajeti ya juzi ya mwaka 2026/2027 napo pia haipo kwenye list yaani mpaka Njombe ndani ikiungajishwa na Mbeya ila Tanga hola.

Kwenye bajeti za flyover waziri wa ulega alitaja watajenga flyover kwenye majiji ma 4 Tanga haikutajwa, pia nakumbuka alitaja mradi wa mwendo kasi katika majiji alitaka yote ila Tanga kaiacha, na kwenye mambo mengi tu,

Je Tanga imeondolewa kwenye orodha ya majiji ila serikali haitaki kusema?
Nafasi yake imechukuliwa na Kizimkazi.
 
Mlikuaje Jiji kama hata flyovers hamuwezi kujenga wenyewe?!
Hii ni kauli inaweza tolewa na MTU mzima kweli? Ina maana hujui kama hela zote zinakusanywa kwenda makao makuu? Tanga, Arusha na Kilimanjaro (mikoa ya kaskazini) inashika Nafasi ya 2, 3 na 4 karibia kila mwaka kwenye kuchangia mapato ya Taifa, Ila wananchi wao wanachochangia kwa jasho Lao kunaenda kujenga Dodoma na kwengineko ambapo watu wake ni wavivu na mchango wao kwa Taifa ni mdogo Sana.

Unaona hayo mapato yaliyokusanywa? Na hapo bado Makampuni makubwa kama Bandari, Tanga Cement na wengineo hayahesabiwi kama mapato ya Tanga Bali ya Dar sababu walipa Kodi wakubwa direct wanalipia Dar sio Tra za Mikoani.
 
Back
Top Bottom