Ndugu zangu Taifa ili limekuwa katika aman kwa muda mrefu hadi kufikia kuitwa kisiwa cha amani lakini kwa hali ilivyo sasa itabaki stori. Mimi siyo muuumin wa mambo ya udini ndo mana naamini kama...
Hivi Majini nayo yameamua kuja digital au bado yako analogia kukwida watu vyooni, na kugaragaza watu makanisani tu?
Maana kuna comments nyingine ukizisoma unajiuliza huyu ni mtu au shetwain naye...
Habarini za muda huu, poleni na miangaiko na ongereni kwa kuendelea na sherehe za sikukuu hii ya mapinduzi kwa bashasha za kutosha
Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa kuanza na stori kwa ufupi...
Mkuu wq wilaya ya Kiteto, Eng Tumain magesa amezuia kuendeleza shamba la ekari 155 Kijiji cha Kijungu lililokuwa linagombaniwa na CCM na Serikali ya Kijiji
Hii imetokana na madai kuwa CCM wanadai...
MKAZI wa Kata ya Nyahanga Halmashauri ya Mji wa Kahama, Eliud Johnstone (30) ambaye ni mwendesha pikipiki (bodaboda), amefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana...
Habari za wkend Wakuu,nawezaje kujua kiasi cha pesa ntakacholipwa NSSF kutokana na makato ya mshahara wangu bila kwenda ofisini kwao. Namaanisha kuangalia online. Natanguliza shukrani.
Sent...
Kumekuwepo na ongezeko kubwa sana mtaani wa wahitimu wa vyuo vikuu mbalimbali katika kada mbalimbali ualimu, uhasibu, uhandisi na taaluma nyingi nyingi kukosa ajira.. tofauti na kipindi...
Wadau nifahamisheni hivi msemo hapo juu ni wa nchi au Chama!!!! na je ni halali utumike kama chata kwenye ndege iliyoingia Jana???
Sent using Jamii Forums mobile app
Salaam wana JF wote..!
Wapendwa, kunakiundi cha rafiki zangu 15 toka Amerika na Kanada wapo hapa Tz kwa shughu za kikazi, hata hivyo wanapenda kutumia uwepo wao hapa Dsm kutoa saada kwa wtoto...
Mwili wa mtoto wa miaka 6 anayefahamika kwa jina la Godluck Mfugale aliyepotea wiki mbili zilizopita mkoani Njombe wakutwa katika poli lililopo karibu na shule ya secondary Njombe (NJOSS) ukiwa...
Habari wana JF, poleni kwa majukumu,
Wana JF jamani huku kwetu hali si shwari sana sikuhizi hatukai nje kuogopa kukamatwa na polisi, siku huzi polisi huja mtaani kwetu mtaa wa Bondeni nyuma ya...
Msaada, izi namba ni za nchi gani
1. +52 1 6141273352
Na[emoji116]
2. +52 6141273352
Kuna mtu nilikuwa nawasiliana nae kwa mambo flani falani, akaniambia kuwa yupo USA, Akanitumia iyo namba ya...
Habari za wkend Wakuu,nawezaje kujua kiasi cha pesa ntakacholipwa NSSF kutokana na makato ya mshahara wangu bila kwenda ofisini kwao. Namaanisha kuangalia online. Natanguliza shukrani.
Sent...
Habari za wkend Wakuu,nawezaje kujua kiasi cha pesa ntakacholipwa NSSF kutokana na makato ya mshahara wangu bila kwenda ofisini kwao. Namaanisha kuangalia online. Natanguliza shukrani.
Sent...
Rejea kichwa hapo juu
Kinyerezi mwisho maarufu kwa Kanga kwa Mjeshi, baada ya daraja mbili kulia Kuna dampo kubwa linanuka, ajabu zaidi Kuna harufu Kali,na gari la taka linaendelea kutupa...

Nadhani wengi tumemsikia rais wa Brazil jair bolsonaro akiamrisha kufukuzwa kazi kwa watumishi wa umma ambao hawaungi mkono siasa zake!
Rais huyo ameagiza watumishi wote wa umma ambao hawamuungi...
Haya nitakayo yasema kaa mwenyewe ufikiri uone kama ni sawa ama laa
1. Vigodoro visivyo na staha watu wanacheze uchi wanavua nguo mbele ya watoto na watu wanashangilia
2. Singeli, watu wanaimba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.