Kinyerezi kanga Kuna story kwa mwandishi wa habari aliyetayar

pua200

Member
Dec 24, 2018
80
44
Rejea kichwa hapo juu

Kinyerezi mwisho maarufu kwa Kanga kwa Mjeshi, baada ya daraja mbili kulia Kuna dampo kubwa linanuka, ajabu zaidi Kuna harufu Kali,na gari la taka linaendelea kutupa vinyesi na kadhalika.

Nyumba hazikaliki, nzi kila Kona... viongozi Hawa dawa yao muwarushe kwenye mitandao na video mchukue...

Wananchi wanaoshi eneo hilo wamechoshwa na ukimya wa serikali ya mtaa huwo. Na nasema Kama Kuna mwanahabar, aliyetayar kinyerezi sio mbali. Ukifika kinyerezi mwisho chukua bodaboda fika kwa Mjeshi panda kilima kikali, ulizia dampo. Utaonyeshwa.

Utapata ushirikiano wankutosha, chukua picha, chukua video, fanya mahohiano utashangaa.

Sijui ni mtag Nani, naomba msaada muwatag wanahabar



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom