Vituo vinavyolea watoto yatima eneo la Dsm

Kamarada

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
253
161
Salaam wana JF wote..!

Wapendwa, kunakiundi cha rafiki zangu 15 toka Amerika na Kanada wapo hapa Tz kwa shughu za kikazi, hata hivyo wanapenda kutumia uwepo wao hapa Dsm kutoa saada kwa wtoto wenye kuhitaji/yatima waliopo ktk kituo rasmi kinacho tambulika.

Plz, mwenyekujua jina la kituo chochote kilichopo Dsm area, tunaomba atufahamishe kupitia hapa jamvini, btw ikipatikana na contact yaotutashuuru zaidi.

Be blessed and Good day..!

Kamarada
 
1.ALHIDAYA ORPHAN CENTRE-Buguruni

2.MWANDALIWA-Boko

3.MALAIKA-Kinondoni

4.HORORATA-Temeke

5.DARUL ARQAMA-Tandika
 
6.HIYARI-Chang'ombe

7.ALFURQAN ISLAMIC CENTRE-Chanika

8.YATIMA TRUST FUND-Chamanzi
 
Back
Top Bottom