Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Muda umeenda namba moja now amefikisha miaka mine bado tu anaendeleza sako la panya na katika hili sako la panya kuna Hali,dhulma,chuki na visasi ambavyo vimepelekea kufanya baadhi ya kampuni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je?mwanachama wa ccm wa mtwara atakuanafuraha kwa ujio wa ndege?haliakua mpaka hii Leo hawajapata malipoyao ya korosho Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Jina lake jipya ni Hope au Matumaini. Akiwa na miaka 2 alidhaniwa na wazazi wake kuwa ni mchawi, Wakamtupa na kumtelekeza mitaani, akadhoofika vibaya kabla ya kuokotwa na mwanamama Anja Ringgren...
1 Reactions
114 Replies
26K Views
Leo Nikiwa katika mizunguko ya hapa na pale ; nikakutana na basi la kubeba wanafunzi la rangi ya njano. Niliposoma ubavuni nikaona maandishi " Indian School Dar es Salaam". Nilichokiona ndani ya...
9 Reactions
84 Replies
12K Views
Wakuu naomba kujua ni adhabu gani kisheria kamati ya maadili ya bunge inaweza kumpa CAG Assad kwa haya yanayoendelea. Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Asanteni Sana serikali ya awamu ya tano kudhibiti hili suala.miaka ya nyuma niliwahi kushuhudia kwa macho yangu mabaunsa wa ile club iliyokuwa maarufu Sana wakiwauzia vijana unga wengi wao wakiwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimefikiria jinsi wananchi wanaoishi vijijini wanavyoishi katika style ambayo bado maeneo Mengi kuna uamini mkubwa Wa Nguvu za giza na baadhi kuabudu mizimu Je si ni wakati muafaka sasa mitume na...
6 Reactions
93 Replies
6K Views
Habari nahitaji kujua hivi malipo ya egovt pay yanafanyikaje katika bank maana fomu niliyopewa inakitu kinaitwa control number na sio ac namba Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Na jambo ambalo haliingii akilini eti kuanzia kilo 1500 hamlipi hadi ukaguzi wa mashamba, Mie na kilo 1600, mbona sijawaona niwaonyeshe shamba. Ni kweli Waziri mkuu, wewe unatoka maeneo ya...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
SERIKALI leo inasaini mikataba na wamiliki wa viwanda vya ubanguaji wa korosho waliojitokeza kwa ajili ya kubangua korosho msimu wa mwaka 2018/19 zilizonunuliwa kwa bei ya Sh 3,300 kwa kilo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wafanyakazi wengi nchi hii akili zao wanazijua wenyewe. Kitendo cha yule mama kubaki pale ni kiashiria tosha kabisa kwamba mwenye nyumba alituchezea sinema. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Weekend njema Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
679 Views
Meneja wa TRA mkoa wa Kinondoni amesema mfanyabiashara mwenye mauzo ghafi yasiyozidi sh 4 milioni hapaswi kulipa kodi kwa mujibu wa sheria ya kodi ya mapato. Meneja amesema alichofanya Rais...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana JF Kuna utekaji umetokea hivi karibuni Geita, (maeneo ya Nyankumbu kwa wale wanaoufaham mji wa Geita) Ipo hivi, kuna dereva pikipiki maarufu kama bodaboda alipigiwa simu kwa namba...
0 Reactions
6 Replies
849 Views
Mtu mmoja aliwahi kusema, "ukichukua fedha zote ulimwenguni na ukizagawa sawa sawa kwa kila mmoja, baada ya mda hela zitawarudia wale walio kuwa nazo mara ya kwanza" Kwanini? Maskini ni watumiaji...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
habari nimeanzisha huu uzi mahsusi kabisa kwa ajili ya wale wanyonge walionyongeka kunyongeaka ni nini? kwa tafsiri isiyo rasmi ni kuwa mnyonge sababu ya haki zako kupindishwa kwa namna fulani...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Na declare before you kuwa nidhahiri Mimi siyo mchambuzi mzuri wa mambo, Ila udhaifu wa BUNGE hili naona sehemu moja kuu, nayo ni baada ha Spika wa BUNGE, Jobu kung'aka baada ya kauli za Assad...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom