Kumekuwepo na ongezeko kubwa sana mtaani wa wahitimu wa vyuo vikuu mbalimbali katika kada mbalimbali ualimu, uhasibu, uhandisi na taaluma nyingi nyingi kukosa ajira.. tofauti na kipindi kilichopita cha awamu ya Kikwete.. hii inasababisha vijana wengi kukata tamaa na kuona hakuna umuhimu tena wa kuwa na elimu kubwa uliyoipata kwa miongozi yao..
Kujiajiri pia kumekuwapo na changamoto nyingi sana ... nawaza mwaka 2020 atawaambia nini vijana hawa wengi ni watoto wa masikini ingawa mpaka sasa kuna wengi pia wapo vyuoni wanafurahia uwepo wa boom lakini hawajui maisha baada ya chuo.. na kama akiendeleaampaka 2025 ongezeko kubwa mtaani la wahitimu wasiokuwa na ajira litakuwa kubwa sana na thamani ya elimu itashuka sana nawaza 2020 atawaambia nini wahitimu hawa??