kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,184
- 3,221
Msaada, izi namba ni za nchi gani
1. +52 1 6141273352
Na[emoji116]
2. +52 6141273352
Kuna mtu nilikuwa nawasiliana nae kwa mambo flani falani, akaniambia kuwa yupo USA, Akanitumia iyo namba ya 2, ghafla nikamuambia "muongo" mbona namba ya USA uwa ina code ya 1,
ndio akaniambia kuwa amekosea kuandika ni namba iyo ya kwanza, akaandika akanitumia
Nimejawa na mashaka nae, ndio maana naomba msaada kujua, nisije nikalizwa
Sent using Jamii Forums mobile app