DC Kiteto stop ugomvi Serikali ya Kijiji cha Kijungu na Uongozi wa CCM kugombea ekari 155

JAMHURI

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
449
60
Mkuu wq wilaya ya Kiteto, Eng Tumain magesa amezuia kuendeleza shamba la ekari 155 Kijiji cha Kijungu lililokuwa linagombaniwa na CCM na Serikali ya Kijiji

Hii imetokana na madai kuwa CCM wanadai shamba hilo in Mali yao huku Kijiji kikidai pia in Mali yao

"Naagiza hili shamba pande zote msiliendeleze mpaka nipate taarifa za kina Mani mmiliki"alisema Magesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom