Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Death is the solution to all problems. No man - no problem- Joseph Stalin One death is a tragedy; one million is a statistic-Joseph Stalin The only real power comes out of a long rifle-Joseph...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi karibuni kimeanzishwa kipindi cha kuukuza utalii Tanzania katika Televisheni ya Taifa, TBC. Ni wazo zuri lakini cha kushangaza ni kwamba kipindi kinachoendelea kwa sasa TBC television ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mmea,bangi,dawa,majani ya kondeni, msuba,shada,kiona mbali,ganja,kipipi. Nilitumia kwa muda mrefu sana lakini baada ya miaka kadhaa ikaanza kunifanya niwe najihukumu sana,hata nikimtongoza...
17 Reactions
155 Replies
17K Views
Kwa wale wanaoelewa naomba wansaidie kiandika story apo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za humu wanajamvi, Naamini mu wazima wa Afya, leo naomba kuwashirikisha kuhusu kile ninachokiita unyanyasaji wa hawa Acacia ambao ni mshirika wa African Barrick Gold(ABG) ambao wanamiliki...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Siku za karibuni kumeibuka ntondo kwa askari Wa barabarani kutumia photo editor.. wanakubambika kesi huku unawatazama hata haya hawana ..mfano mwezi Dec nilikuwa nasafiri kutokea Dar kwenda Moshi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tafiti hupingwa kwa tafiti..kaa chini.tenga muda wako..fuatilia..watu wote wanaopenda penda kukaa ama kunywea bia counter..Mara nyingi wachoyo..ama wanataka mazoea na MTU wa counter (cashier) ili...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hizi ndio ndege za Rais kama ulikuwa huzijui, Rais Magufuli kasema zipakwe rangi
14 Reactions
113 Replies
21K Views
Na mwandishi wetu - Chalinze Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze imechukua hatua za haraka kukabiliana na upungufu wa Vyumba vya madarasa kwa Shule za Sekondari ili kuruhusu wanafunzi wote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimezunguka sana natafuta kazi nimekosa,nilianza na vogezo stahili kulingana na elimu yangu sijaweza fanikiwa mpaka kazi zs kibarua nazo nakosa. Nikiangalia maofisini nawakuta vijana wakike na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Basi linalomilikiwa na Kampuni ya Arusha Express ambalo linalofanya safari zake kati ya Arusha kwenda Mbeya limepata ajali leo Januari 12, 2019 kwa kugongana na gari ndogo maeneo ya Nyang'oro njia...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Hawa jamaa ni Mwisho wanaishi katika maisha ambayo inasemekana ni ya Kidini Kihindu. Huamua kukata sehemu zao za siri na kuishi kama Wanawake,pia huvaa Nguo za Kike yaani Sari. Jambo la...
5 Reactions
185 Replies
25K Views
CHINA inakusudia kujenga Kituo cha Kisasa cha Kibiashara katika eneo la Stendi Kuu ya sasa ya Mabasi ya Ubungo, Dar es Salaam kuanzia mwezi huu, kikiwa na uwezo wa kukusanya shughuli zote za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna Mbwa nimepewa Zawadi na Rafiki yangu mmoja hivi ila nataka awe mkali kupita maelezo kiasi kwamba Mwizi akiingia ninapoishi basi amuue tu mara moja au amjeruhi vibaya sana na ikiwezekana hata...
1 Reactions
23 Replies
9K Views
Vitu vingine vinatia hasira sana, serikali imekupa mafunzo ya kijeshi, ikakununulia na silaha nzito uitumie kulinda maisha ya watz, hata mwizi ni raia na ana haki ya kufika mahakamni kujibu...
7 Reactions
146 Replies
23K Views
Nilianza kujifunza kunywa pombe mnamo mwaka 1993 wakati wa mahafali ya kidato cha nne na pombe iliyokuwepo ni Konyagi. Kuanzia kipindi hicho nilikuwa najidunga pombe kali tu tena kavu kavu. Baada...
21 Reactions
108 Replies
13K Views
Wakati vijana hawa watatu wa Kitanzania wanarusha Ndege ya Taifa lao kutoka CANADA mpaka hapa TANZANIA...yeye Tundu Lisusu anarusha Makombora kutoka Ubeligiji mpaka Tanzania...hii ina Maana Gani...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mwili wa mtoto wa miaka 6 anayefahamika kwa jina la Godluck Mfugale aliyepotea wiki mbili zilizopita mkoani Njombe wakutwa katika poli lililopo karibu na shule ya secondary Njombe (NJOSS) ukiwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mababu ni vitabu ...Je mnavisoma? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
888 Views
Sasa hivi tatizo sio kusoma bali tatizo kubwa ni kupata ajira. Na tatizo hili linakuzwa na mfumo wetu wa elimu ambao unaandaa waajiriwa.(soma; mfumo mbovu wa elimu na tatizo la ajira tanzania)...
6 Reactions
27 Replies
7K Views
Back
Top Bottom