badison
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,450
- 2,758
Ndugu zangu Taifa ili limekuwa katika aman kwa muda mrefu hadi kufikia kuitwa kisiwa cha amani lakini kwa hali ilivyo sasa itabaki stori. Mimi siyo muuumin wa mambo ya udini ndo mana naamini kama huyu Mungu ni mmoja sasa tofauti za nini.? Udini na mazingira yake kwa sasa unatengenezwa au unapikwa kuanzia uteuzi serikalini na viongozi kutembelea makanisani huku na viongozi wa dini wakiona ni poa tu na kuleta ushabiki wa kisiasa.
Angalizo inapotokea watu flani katika jamii wakaona wanatengwa hawapewi nafasi na heshima inayostahili ndipo hapo mambo ya kigaidi yanapoanza kutokea. Tusiende mbali chukulia mfano wa siasa za kenya zilipo wafikisha alafu linganisha na umoja wao kitaifa. Wito wangu ni mmoja tu usije kuona umeshika nchi ukadharau waliokupigia kura iwe waslam ou wakristo tenda haki. Mpende jirani yako kama unavyojipenda tahadhari ni bora kabla ya hatari. Tafadhali nawasilisha.
Mwanahalisi 13/06/2016
Badman.